Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Yani mtu akudhalilishe halafu useme umuache!!! Atakuona fala siku zote za maisha yako.
Amepata dawa anayostahili, ukiwa na mtu asiyejitambua the only solution ni kumfanya ajitambue kidiplomasia, asipojitambua kwa njia "halali" you've go no option but hammer her.
Yeyey kwenda kutumbua maraha tena na e-x wake halafu anamuacha Mtoto wa miezi 8 ndani huo ni utahira wa huyo Mwanamke angemcharaza kabisaUmeona wapi nimetetea?, Nimesema ni kweli bidada kakosea lakini kuna adhabu nyingine angeweza kupewa na sio hii.
Sawa baba mtoto aliumia lakini ni vyema kufikiria hali ya mtoto pia in case kitu kibaya kingemtokea mama kutoka adhabu kama hii ya mtu kuchukua sheria mkononi.
Vyombo gani vinaruhusu huuu uozo aliofanya huyo Mwanamke unayemtetea.... Alikosea yaani anapigwa halafu anapendeza kwa kuuumka kama kitumbua.. Alitakia amacharaze hasa .. Bwege kabisaHasira zinaweza geuka kuwa hasara.
Angemshtaki kwenye vyombo husika and then angeachana nae. Tena angeweza hata kuwa na full custody ya mtoto kutoka kitendo alichofanya huyu bidada.
Kuliko hivi, halafu mtoto angeweza kukosa wazazi wote wawili.
Hahahahaha kongole kwa komando popote huko alipo..Unashangaa ilo????.
Komando X mwenye nyota mbili ,, katoka out na mke wake na rafiki wake ( bwana harusi mdogo )
Heee jamaaa kaenda choon ,, kurudi anakuta Dem na Rafiki wanakulana madenda ....kudadeki ,,, Jamaaa komando alimvunja vunja jamaa ,,wanapeleka hospital ,, Dr anaulizwa Huyu MTU kagongwa nagari yaaina gani ???.
Popote ulipo Komando weee ninomaaa ulitishaaa .
Yani mtu akudhalilishe halafu useme umuache!!! Atakuona fala siku zote za maisha yako.
Yeyey kwenda kutumbua maraha tena na e-x wake halafu anamuacha Mtoto wa miezi 8 ndani huo ni utahira wa huyo Mwanamke angemcharaza kabisa
![]()
Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu. Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane. Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.
Sawa mdada alikosea, lakini kwanini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi? And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?
Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza.
Nasapoti kabisa hii hoja yako. Wanawake wengine wamekuwa wanyama kabisayaani kweli umwache mwanangu wa miezi nane ndani halafu nikuache tu na kaex kako eti mnakula bata?? Nakucharaza zaidi ya huyo
Nakulegeza unarojeka kama tunda kwenye blender ya kukuacha yatafanyika baadae.
tutake radhi wachaga mkuuYaaan ungemuuwa mumeo au ?¿?
Embu fafanua ???? Weee bilashaka utakua ni mnyakyusa au mchaga.![]()
Ok you are a theorist not a practioner, you match your advice.
Ha ha ha kibongobongo unaenda dawati la jinsia unashitaki 'mke wangu kamauacha mtoto ndani kaenda kwa mchepuko' hata yule dada wa dawati la jinsia atakuona FALA.Hasira zinaweza geuka kuwa hasara.
Angemshtaki kwenye vyombo husika and then angeachana nae. Tena angeweza hata kuwa na full custody ya mtoto kutoka kitendo alichofanya huyu bidada.
Kuliko hivi, halafu mtoto angeweza kukosa wazazi wote wawili.
Ok you are a theorist not a practioner, you match your advice.
I understand your theory which is promiscuity theory.Messing up the mother of his child wasn't a solution to what had happened. Damage was already done anyways, and it could've been worse as to what he did to her. It was most for his own ego.