Ndio upuuzi huo wa kuendelea na ex na wakati mlishaachana. Kwangu mm nikiacha mtu basi ajue anabaki kuwa useless tu hata call yake sitahitaji iwe ya salamu au ya taarifa.Tena angemng'oa meno yote yani huyo dada ni empty set for sure.Yani niache mwanangu wa miezi nane kisa liEx dah alivyopigwa nahisi haitoshi.