Hii kitu unasema huenda ikawa ni kweli...Hisia! Kuumiza hisia za mtu ni hatari kuliko kuumiza mwili.
Halafu wewe...njoo tusalimiane.Ok, mr. Practioner..
Umenuna poleSee!, this's part of my theory..
![]()
Naomba tu nsije nkamfumania
Mke wang maana nahis ntafungwa
Kwakweli hakuna vle ntamuhrumia
Lazma ntamg'oa meno yote
Yan kama n ICU atalala mwez
AniacheNa wewe akikufumania?
Bt nothing more it pains than love...Tusichukulie kirahisi sana haya mambo ndugu zangu....Yanaumiza sana haya Mambo hakika. Hakuna mtu anapenda kumpiga tu mke wake ama mpenzi wake aliyempenda mwenyewe...bt huu usaliti ndo unapelekeaga hata kutolewa roho.... Wanawake...tunawapenda sana kuweni na utashi sahihi kwa yale mnayayatenda![]()
Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu. Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane. Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.
Sawa mdada alikosea, lakini kwanini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi? And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?
Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza.
AhaaAniache
Nilicheka sana kwenye video adi saiv hahahaMia tisa itapendeza zaidi😀😀😀😀
yaani kweli umwache mwanangu wa miezi nane ndani halafu nikuache tu na kaex kako eti mnakula bata?? Nakucharaza zaidi ya huyo
Nakulegeza unarojeka kama tunda kwenye blender ya kukuacha yatafanyika baadae.