Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza

Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza

husband2.png



Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu.
Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane.
Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.

Sawa mdada alikosea, lakini kwa nini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi?
And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?

Bora Kumwacha Mtu Kuliko Kumuumiza..
We Mwanmke mleta huu Uzi utakuwa na matatizo ya Kimahusiano yaani unadiriki kutete ujinga huu.. Yaani Angempiga na kumtoa hata pua Moja... Shenzi type
 
Unashangaa ilo????.

Komando X mwenye nyota mbili ,, katoka out na mke wake na rafiki wake ( bwana harusi mdogo )

Heee jamaaa kaenda choon ,, kurudi anakuta Dem na Rafiki wanakulana madenda ....kudadeki ,,, Jamaaa komando alimvunja vunja jamaa ,,wanapeleka hospital ,, Dr anaulizwa Huyu MTU kagongwa nagari yaaina gani ???.

Popote ulipo Komando weee ninomaaa ulitishaaa .
Huyu komando alikamatwa kwa kosa la mauaji yupo ndani
 
Kwanza huyo mwanamke anamakosa makubwa sana, ataachaje kichanga ndani alafu akale bata , nyumba ikiungua kichanga si kitateketea ndani, hiyo adhabu amepata ni ndogo anatakiwa pia ashtakiwe,

Kwani muizi akikamatwa kitaani ameiba si anakula kipondo na bado anashtakiwa , hivyo huyo dada kichapo alichopata ni sawa kabisa na bado ashtakiwe
 
Naomba tu nsije nkamfumania
Mke wang maana nahis ntafungwa

Kwakweli hakuna vle ntamuhrumia
Lazma ntamg'oa meno yote
Yan kama n ICU atalala mwez
 
yaani kweli umwache mwanangu wa miezi nane ndani halafu nikuache tu na kaex kako eti mnakula bata?? Nakucharaza zaidi ya huyo

Nakulegeza kama kama tunda kwenye blender ya kukuacha yatafanyika baadae.
Unaamdika ka una sukwa nywele dogo..delicious
 
yaani kweli umwache mwanangu wa miezi nane ndani halafu nikuache tu na kaex kako eti mnakula bata?? Nakucharaza zaidi ya huyo

Nakulegeza kama kama tunda kwenye blender ya kukuacha yatafanyika baadae.
yani aisee mwenyewe uchungu umenijia kwa mtoto tu....hapo angechakaa zaidi na angenieleza mwanangu kamkosea nini
 
Yuko ndani bro hakunaga hizo yeye nani asifungwe mkuu?? Kunyea debe kunamhusu tayari, unaleta wivu kwa mwanamke ya kwapi uko ndani watu wanatembezea bakora kama kawaida tu ni ujinga tu ulimponza
 
Back
Top Bottom