GreatMkubwa
Member
- Jun 25, 2012
- 99
- 57
Mimi nimesoma hiki hapa
KURASA ZA UCHUMI - By Albert Nyaluke Sanga
KURASA ZA UCHUMI - By Albert Nyaluke Sanga
Mkuu naweza kupata hivi vitabu?
Nashukuru sana EWGM,nitavitafuta kuanzia sasa nivisome. Umeifanya hii siku njema.Ukikisoma hiko halafu ukapitia na hivi basi akili inakaa sawa
Holy bible.nimesoma new testament maranying na kurudia rudia na old testament kwa baadhi ya vitabu
Holy bible.nimesoma new testament maranying na kurudia rudia na old testament kwa baadhi ya vitabu
Naomba unijibu hay maswali ,mkuu vpi kuhusu siku halli ya sabato n j mosi au j pili , VP kuhusu ulaji w nyama y nguruwe n halli au VP ? nieleweshe hpoHoly bible.nimesoma new testament maranying na kurudia rudia na old testament kwa baadhi ya vitabu
The richest man in Babylon ni kitabu kizuri sana for exceptional readers1. The richest man in Babylon
2. The art of money making by Barnum
3.
Una soft copy?Vipo vitabu vingi sana vya kuongeza maarifa ila kwakuwa najua wengi wetu hatuipendi sana kusoma vitabu leo napenda niwashauri kuna hiki kitabu kinaitwa THE POWER OF SELF DISCIPLINE kimeandikwa na BRIAN TRACY mkipata muda mkisome kwani kitawakufundisha vitu vingi from self discipline,time management,work , relationship na vitu vingine vingi tu.
Sent from my Huawei mate 9