Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲"
Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana.
Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia kumuua.
Soma hapo chini.
adriz de mbusii
Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa na kukasirika baada ya Tume ya Chande kutoa ufafanuzi wa Ripoti yao ya matukio yalitokea Oktoba 29, 2025 kusema video za matukio zilikuwa zimechakachuliwa na zakutengenezwa na nyingine nikutoka Gaza.
Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa akisema ni uongo uongo...
Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi, Kusema Ripiti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa
Maana ya Tume ni kuweka vitu vyote wazi, kufungua milango yote ya nyumba nzima na kuruhusu mwanga uingie ndani, na kumulika palipokuwa na giza, lakini tume hii haikufanya hivyo kabisa, sana sana kitu...
Bongo zozo amepost picha ya watoto wake na kuandika "madini niliyoiba" huku akiweka wazi kuwa watoto wake wamepolwa uraia wa Tanzania na serikali.
Aidha maneno yake ya "madini niliyoiba" yamezua maswali ya kinachoendelea je bongo zozo ametishiwa kupewa kesi ya wizi wa madini na serikali haramu...
Kutoka mtandaoni bongo zozo amepost video ya pole pole aliyetekwa na watu watu wanaozaniwa ni polisi akiandika na maneno mafupi.
"Sikukuu tukumbuke waliopotezwa.
Tukae tufikiria inakuwaje watu walivyokosa ndugu zao kwenye pilau ya sikukuu. Bila kujua hali zao. MATESO HAYO.
NAPINGA UTEKAJI...
Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.
Tanzania ni demokrasia, sindiyo?
Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:
Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.