Malizia Masters ya SUZA!Kwa hizi PhD za akina Kabudi? Acha nibaki na Masters zangu tu.
Hivi PhD holder si anayakiwa kuishi falsafa yake ilomuwezesha kuipata hiyo PhD? Au nae anaweza kubadili gia angani bila kuathiri andiko lake (rejea HK na andiko lake vs mwl wake kutompitisha kisa kwenye ground haiishi falsafa yakeHii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Akijibu nishtueNje ya mada kidogo! Kwa asilimia kubwa Bongo tunasomea mambo kwa kuiona fursa. Vipi kibongo bongo hiyo fani iko poa (aquatic science)?
Value ya PhD ni output yake, kama una PhD halafu una akili kama za Kabudi, Muhongo, Mwakyembe, Bashiru, Mkumbo, Shivji na wanaofanana nao kwa nini usichukiweHii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Hii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
"wabakia na mavi Yao.." -PhD holder.Watanzania hawachukii wenye PhD bali wanachukizwa na matendo na kauli za baadhi ya watu wenye PhD.
"Unataka wanywe mkojo wako" PhD holder
Hii iko wazi. Asiye nacho siku zote huwa na wivu na aliye nacho.
Nimesoma Nigeria miaka minne (University of Lagos) hakuna PhD anaeombakazi ya udereva. Acha kutunga uongo ili kujifurahisha genge lako la NGUMBARU
Hata ukiandika kwa kilatini bado hoja yako dhaifu PhD ni daraja kubwa mno na wanaofika pale ni watu wanaofikiri zaidi ya kawaida kwa ufupi ni Magenius tu. Hapa hakuna huruma rudi shule upate PhD kama unafikiri ni rahisi. Hiyo division five yako eti umkosoe PhD. haaaaaaaaa KILA UTAKACHOSEMA WEWE NI MARUDIO TU KWA MWENYE PHD HUNA JIPYA.
Utawaweza waswahili kwa wivu hawa.
Ukijionesha tu kwamba una elimu kubwa watakupopoa mpaka utajuta.
Mimi nimetumia robo tatu ya maisha yangu kukaa darasani, na sijuti kabisa.
Nimesoma taaluma zote zilizopo chini ya hili jua. Hii imenifanya nijiamini kuliko shetani.
Kwa kweli kusoma ni raha. Na ni kipaji pia.
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika hii dunia. Kila siku najifunza kwa kadiri inavyowezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria unayo halafu hunatofauti na waliokimbia umande,aka wazee wa chimbo,nani atafagilia.Ipo mifanoHii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
MmhFikiria unayo halafu hunatofauti na waliokimbia umande,aka wazee wa chimbo,nani atafagilia.Ipo mifano
Utajiri si kipaombele cha kila mtu. PhD na utajiri havina uhusiano.Masikini wanatamani PHD wakati matajiri wanatamani na wanapigania kumiliki mitaji na makampuni ya biashara za kimataifa.
PhD holder ukiondoa madaktari wa binadamu waliobaki ni masikini kichwani mpaka mfukoni.
Wengi hawajiwezi kiuchumi na wanaishia kuajiriwa na vyuo kwa mshahara wa milioni 2.
Dunia ya leo na Phd yako ya kiswahili wakati mfukoni huna kitu na huwezi hata kujiajiri nani utamtisha?
Hizi PhD za makaratasi ni mfumo mbaya wa elimu za kizungu. Mtu anapewa PhD ya kukariri vitini na makaratasi eti ndio ana akili wakati hana akili ya kutafuta pesa.
Mimi kwangu mmachinga anaejua kupambana bila kuajitiwa mpaka akamiliki biashara ni bora mara alfu kuliko profesa wa chuo kikuu alieajiriwa na anaishi kwa kutegemea mshahara wa serikali.
Ma PhD ya makaratasi hayana mchago kwa taifa zaidi ya kuongeza utegemezi na mzigo kwa taifa.
Kama huna pesa PhD ni utopolo tu. Hapa sizungumzii Phd za afya maana hizi walau tunaona mchango wake kwenye jamii lakini sio hizi za kiswahili.
Yule ni useless!!Kuna mkuu wa mkoa wa Moro(PHD) ya mambo ya food security wkt Magu anaingia alitengua uteuzi wake jamaa likaanza kulia lia eti ooh eti hata yohana alimezwa kwny tumbo la samaki sijui nini nisamehe baba.Matunda ya PHD hayo
PHD-Permanent Head Damage