and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
- Thread starter
- #181
Maoni yako Ni kwa wenye PhD tu? Wao ndio wanatoa pesa za miradi ya Maji?Kutoa maoni yangu ni chuki?
Maoni yako Ni kwa wenye PhD tu? Wao ndio wanatoa pesa za miradi ya Maji?Kutoa maoni yangu ni chuki?
Si ungesoma biashara Basi.Bibie Nina masters ya aquatic Science kutoka uholanzi GPA ya 4.3, ningekuwa sipo kwenye kujiwekeza na kufanya mambo ya biashara zaidi sasa hivi ningekuwa na PhD na full scholarships zipo na nazipata daily. Kwahiyo nilichokiandika nakiamini na kukikubali. Mwakyembe ana PhD ya ujinga hawezi kukana somo thesis take kwasababu ya tumbo
Waliofeli shuleni ndio huongoza kwa chuki dhidi ya wasomi nakusahau ugumu wa maisha yao wenyeweChuki za Ngumbaru dhidi ya wasomi
Mtu anashindwa kuapa kwa kiswahili. Bado anatetewa Sisi Ngumbaru tuna hasira bila sababuWaliofeli shuleni ndio huongoza kwa chuki dhidi ya wasomi nakusahau ugumu wa maisha yao wenyewe
Kweli kabisaMtu nashindwa kuapa kwa kiswahili. Bado anatetewa Sisi Ngumbaru tuna hasira bila sababu
Sipati picha Prof. Akishindwa nae kuapa sijui Twitter kutakuajeKweli kabisa
"Mimi nina digrii nne, sina muda wa kuongea na watu kama wewe mlioishia la saba" alisikika mwenye PhD mmoja akisema.Watanzania hawachukii wenye PhD bali wanachukizwa na matendo na kauli za baadhi ya watu wenye PhD.
"Unataka wanywe mkojo wako" PhD holder
Kungekuwa ni nchi kavu ungesema hakuna pesa ya kununua ziwa la maji fresh ndiyo level yenu ya kufikiria ya PhD.Pesa isiwe kisingizio.Maoni yako Ni kwa wenye PhD tu? Wao ndio wanatoa pesa za miradi ya Maji?
Chuki hailipi. Nenda shule, elimu Ni bila malipo.Kungekuwa ni nchi kavu ungesema hakuna pesa ya kununua ziwa la maji fresh ndiyo level yenu ya kufikiria ya PhD.Pesa isiwe kisingizio.
Shule nimeenda tena kubwakubwa.Chuki hailipi. Nenda shule, elimu Ni bila malipo.
Chuki nichukie. Niguse Ninuke.Hii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
DuuhPermanent head Damage