mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,865
- 13,224
Wanatengeneza maisha gani ya kumlamba viatu mkuuPhD ni PhD tu kila fani inamtegemea mwenzake.Wewe lete dharau wenzako wanatengeneza Maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatengeneza maisha gani ya kumlamba viatu mkuuPhD ni PhD tu kila fani inamtegemea mwenzake.Wewe lete dharau wenzako wanatengeneza Maisha
wewe hujui kitu,sio udereva tu hata vibaka na matapeli pia ni wengi.Nimesoma Nigeria miaka minne (University of Lagos) hakuna PhD anaeombakazi ya udereva. Acha kutunga uongo ili kujifurahisha genge lako la NGUMBARU
Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
PhD gani hapa kwako Tanzania kawa dereva? Acha kudanganywa
Halafu tumebuni faraja kuwa elimu sio kitu, kwamba waliofanikiwa kimaisha ni watu wasiosoma.... na tunayo mifano lukuki kujifariji.
Na kwa wingi wao wajinga watawin this trend, no wonder siku hizi watoto wote wanataka wakuwe dayamondi.... na sio Lipumba...vu.





cha sindano iwaingie
Cha ajabu,ngumbaru ina wafuasi wengi mno vyuo vikuu.Graduates wengi sasa hivi huwaambii kitu kuhusu Diamond.
Na nimesikia degree nne inaenda kukesha fiesta tarehe 8 Dec.
Hadi leo tunalazimishwa tuabudu vyeti.Ila niwaambie ukweli ninyi wenye PhD. Fanyeni vitu vya kipihedii!Tutawaheshimu sana.
Mnamuonaje Mesi?Mlushasikia anajitangaza yeye ni mchezaji bora?Si nyie wenyewe mnajipendekeza tu kwake?
Unadhani watu hawamheshimu Askofu Gwajima?Leo hata wewe PhD holder nikuulize,unamchukuliaje prorofesa Lipumba,ukimlinganisha na Millard Ayo?Ungeambiwa na Mungu uchague mmoja kati ya hao awe ndugu yako utamchagua nani?
Saf sana mkuu.Nilipataga scholarship ya kusoma PhD sasa kuna mzee mmoja Professor nikaenda kumweleza hiyo habari na kumtaka ushauri. Alichoniambia ni kwamba kwa nafasi uliyonayo ambayo hata PhD holders wanaitamani usipoteze muda kwenda kusoma Zaidi, elimu uliyonayo inakutosha usiende kujaza maelimu halafu ukakutana na matarajio tofauti ukawa frustrated. Nilichukua ushauri wake sikwenda na sijutii .
Wengi wa PhD holders walitegemea kupata matokeo makubwa kimadaraka na kifedha na baada ya kukutana na utofauti wanaishia kudata tu. Kuna mmoja aliingia kujenga fensi mpk ndani ya eneo langu sehemu Fulani nilikuwa nimepanunua nimepaacha. Siku niliyoenda akaniletea nyodo wakati mpk huko kwenye hati halali kabisa. Nilichukua Tingatinga nikabomoa mchana kweupe baada ya kujiridhisha kuwa kavamia. Jamaa alipaniki kaenda polisi mie nikaenda kwa wakili wangu na watu wa Ardhi. Kufika pale anasema unajua mie ni Dokta, nikamwambie kajambe ukanye, kama ungekuwa na akili usingeshindwa kusoma Ramani ya kiwanja
Tulimshtaki na alitulipa Fidia
Kuna moja hiyo kuna madogo walikuwa wameajiriwa benki moja ilishabadilishwa jina juzi kati hapa walikuwa wamefungua tawi moro sasa wakaenda kukaa sehemu kunywa jioni Bar moja maarufu moro town. Sasa madogo wamepiga gambe na wamevimba na funguo zao za magari ya mikopo wanajiona hawana shida hapa duniani.
Dah hatosahau maisha yake yote.Kuna moja hiyo kuna madogo walikuwa wameajiriwa benki moja ilishabadilishwa jina juzi kati hapa walikuwa wamefungua tawi moro sasa wakaenda kukaa sehemu kunywa jioni Bar moja maarufu moro town. Sasa madogo wamepiga gambe na wamevimba na funguo zao za magari ya mikopo wanajiona hawana shida hapa duniani.
Sasa pembeni yao kulikuwa na mdingi mmoja kapiga shati jeupe na tai nyekundu suruali nyeusi madogo wakajua meneja wa baa. Si wakamfuata wanalalamika muhudumu anawacheleweshea vinywaji basi yule dingi akajibu vijana kuweni na adabu mie sio meneja me ni lecturer tena PhD holder. Aisee madogo walimchana maana aliwajibu kwa dharau sana
Ukizingatia walikuwa wameshakolea pombe walimzingua wakamwambia PhD si ukanywee Nashera huko unatafuta nini kwenye Bar za mitaani. Nyie ndio mnajifanya mna PhD halafu mnavizia mabaamedi na wasukuma mikokoteni. Watu wacha tucheke, yule dingi akaacha vinywaji akajikataa. Wakati anaondoka jamaa mmoja akamrusha kama anaongelea puani " eti mie ni lecturer nina PhD" kwenda katafute bodaboda ikurudishe kwako mwanga wewe
Kwani wanaoongea mantiki ni level gani ya elimu mkuu, maana wenye PhD wamepita level zote huko chini hadi kufika hapo walipo, au ugonjwa wa kuongea utumbo umewapata walipoanza kusoma PhD...teh..Tatizo wenye PHD wakiongea utafikiri hiyi PHD walitunukiwa tu sio kwamba mnachukiwa ila mkiongea mnaongea utumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanaoongea mantiki ni level gani ya elimu mkuu, maana wenye PhD wamepita level zote huko chini hadi kufika hapo walipo, au ugonjwa wa kuongea utumbo umewapata walipoanza kusoma PhD...teh..
Kwa Tanzania in vigumu kutofautisha mwenye PhD na asiye na phd maana kwenye mijadala na matatizo yanayohitaji suluhisho mtu wa darasa la saba anaweza kutoa mawazo mazuri kuliko hao wa PhD!ambao
Tatizo mtu mwenye PhD inahitaji akili kubwa kumwelewa, ndo maana wengi wanafikiri anaongea utumbo. Mfano, unafanya PhD tuseme miaka 3-4 na unaandika andiko lenye kurasa labda 200-400. Tuseme kwenye conference au mjadala unapewa dakika 8 uelezee utafiti wako, utoe matokeo na mapendekezo......yaani u-sammarize utafiti uliofanya kwa miaka 4 na kuandika andiko la kurasa 400 uelezee ndani ya dakika 8......ni lazima uwe na akili kubwa na huyo anayekusikiliza anatakiwa awe na akili kubwa kuweza kuelewa hata mantiki ya kile ulichokiwasilisha......kwa ma-layman inabidi uelezee katika lugha ambayo ni rahisi kwao kuelewa, nayo ni shughuli pevu, hahaha.....tunategemea zaidi mtu alosoma awena upeo mzuri sasa unakuta mtu anaongea mpaka unajiuliza hivii huyu ana PHD kweli
Ukijichanganya na wajinga tarajia loloteKuna moja hiyo kuna madogo walikuwa wameajiriwa benki moja ilishabadilishwa jina juzi kati hapa walikuwa wamefungua tawi moro sasa wakaenda kukaa sehemu kunywa jioni Bar moja maarufu moro town. Sasa madogo wamepiga gambe na wamevimba na funguo zao za magari ya mikopo wanajiona hawana shida hapa duniani.
Sasa pembeni yao kulikuwa na mdingi mmoja kapiga shati jeupe na tai nyekundu suruali nyeusi madogo wakajua meneja wa baa. Si wakamfuata wanalalamika muhudumu anawacheleweshea vinywaji basi yule dingi akajibu vijana kuweni na adabu mie sio meneja me ni lecturer tena PhD holder. Aisee madogo walimchana maana aliwajibu kwa dharau sana
Ukizingatia walikuwa wameshakolea pombe walimzingua wakamwambia PhD si ukanywee Nashera huko unatafuta nini kwenye Bar za mitaani. Nyie ndio mnajifanya mna PhD halafu mnavizia mabaamedi na wasukuma mikokoteni. Watu wacha tucheke, yule dingi akaacha vinywaji akajikataa. Wakati anaondoka jamaa mmoja akamrusha kama anaongelea puani " eti mie ni lecturer nina PhD" kwenda katafute bodaboda ikurudishe kwako mwanga wewe