Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

Kwanini Wahaya na si watu wa makabila mengine??.
We unafikiri ule msemo wa wahaya kupenda sifa ukitoka wap

Chuki tu za kutopenda mafanikio ya watu waliopambana kutafuta mafanikio na elimu
JamiiForums-1211541980.jpg
 
lazima pia uwe na PHD ya kupiga Majungu ili ufanikiwe.
yaani ni jambo la kawaida kumkuta mwenye PhD anatengeneza majungu na fitina dhidi ya mwenzake.
na hili lipo haswa kwenye ajira za umma, huko wanapigana majungu ni hatari! yaani huwezi elewa bosi na asiye bosi wote mtindo mmoja tu, kusemana kwa kwenda mbele.
kama umeishi na kufanya kazi ulaya au hata nchi jirani utashangaa sana tabia iliyopo tz.
 
Ili kuitetea elimu yako,andika machapisho na vitabu vya kutosha. Je ni vitabu vingapi vinavyotumika huko duniani au vyuo vikuu huko duniani,vilivyoandikwa na hawa wenye PhD kutoka ukanda wetu? Mfano mzuri,angalia vitabu vya sekondari na vyuo ulivyovitumia...vingi vilikuwa vimeandikwa na watu gani na kutoka maeneo yapi?
 
Hii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?

Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Hasa ikiwa PhD yako haina msaada kwa jamii inayokuzunguka na hasa wale wa hali ya chini kama Ngwasuma
 
Hasa ikiwa PhD yako haina msaada kwa jamii inayokuzunguka na hasa wale wa hali ya chini kama Ngwasuma
Kama zile za kuokotwa jalalani, kwanini usichukiwe, kwani zinageuka mzigo na mateso kwa jamii iliyo jaa matatizo yasiyo na ufumbuzi.
 
Wabongo wanataka mwenye PhD awe na mawazo kama yake wa darasa la saba.

Yaani wanataka wafanane mawazo, bila hivyo mara ni msaliti, mara PhD fake au elimu haija msaidia.

Mtu unalazimisha wa PhD awe na mtazamo kama wako wa darasa la 7.
Kuna PhD na PhD.
Kama PhD imepatikana kwa ku plagiarise au ku c/p unategemea Nani aiheshimu?
 
Mugabe alikuwa nazo nyingi lakini alizitumia kubomolea nchi yake.
Degree zake zimeleta shida kwenye jamii
 
Hii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?

Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Wanachukia MATENDO ya mwenye PHD kwani ni Aibu mzee wa PhD kujipendekeza pendekeza ili Upate mkate wa siku badala ya kutumia PhD yako kupata mkate
 
Phd mshahara wao bana ni mkubwa maboss lazima tuwamaindi anakulipa nan more than 2M kazi ambayo vijana wa degree wanaweza kufanya
 
watu wana roho mbaya kuliko wanyama.
yaani kama ni maofisini kazi yao ni kuvutana chini, kupigana majungu na fitina n.k.
hata sielewi hii tabia walifundiwhwa na nani?!
 
Back
Top Bottom