Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

Hayo ni maneno ya kimasikini sana wewe.
Dunia ni maisha na maisha ni pesa.

Kumiliki makaratasi eti kisa yanaitwa PHD wakati wenzako wanamiliki pesa ni uhayawani na laana kwa vizazi vyako.

Mi ninaheshimu sana kijana ama mzee yeyoyote mpambanaji anaejua kuipambania shilingi kwa nguvu zake na kupiga hatua kuliko hawa ma profesa sijui Dr masikini wanaotegemea ajira za serikali.

Pumbavu sana ase

Utajiri si kipaombele cha kila mtu. PhD na utajiri havina uhusiano.
 
Nakumbuka ile PhD ya maganda ya koroshow iliyowahi kusema "mapapai & mbuzi vina korona"
 
Halafu litakuja jitu limekaririshwa na kujirundikia mikaratasi inayoitwa PhD linajiona la maana wakati linasubiri kuajiriwa na mfukoni halina hata mia.

Nafurahia sana kuona vijana wakipambana mtaani kusaka pesa kuliko haya majamaa hayawezi hata kujiajiri halafu yanaaminishwa eti ni wasomi wana akili kwa kumiliki makaratasi yanaitwa PhD.

Mi kwangu mwenye akili ni yule alieweza kujiajiri na kuajiri wengine.
Elimu iliyomkomboa mtu,ni kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine, tofauti na hapo elimu inakuwa haijakusaidia zaidi ya kukariri
 
Utajiri si kipaombele cha kila mtu. PhD na utajiri havina uhusiano.
The same kuwa na PhD na kuwa na std 7, havina uhusiano na utajiri. Siku zote matajiri wakubwa ni wafanya biashara tu.
Hata maprofessor matajiri basi wamebuni kitu kinachowaingizia pesa na siyo kumiliki cheti tu. Lakini utagundua kuwa utajiri wao ni mkubwa sana kupita wastani, na ni watu wachache sana. Ila ukizungumzia pesa za kawaida kumudu maisha yetu ya Kila siku watu wenye PhD wanazo za kutosha tu.

Ila watu wengi hapa Wana inferiority complex kwa watu wenye PhD, hii inaonyesha kwamba walikuwa na wrong information kichwani mwao kwamba ukiwa na PhD basi unakuwa tajiri kuliko asiye nayo, kitu ambacho SI kweli. Sioni haja ya kumchukia mwenye PhD.

Mbona hata kama ukiwa na gpa kubwa darasani ila Kupata kazi au kufanikiwa kwenye maisha hakutegemei Hilo tu.
 
Hayo ni maneno ya kimasikini sana wewe.
Dunia ni maisha na maisha ni pesa.

Kumiliki makaratasi eti kisa yanaitwa PHD wakati wenzako wanamiliki pesa ni uhayawani na laana kwa vizazi vyako.

Mi ninaheshimu sana kijana ama mzee yeyoyote mpambanaji anaejua kuipambania shilingi kwa nguvu zake na kupiga hatua kuliko hawa ma profesa sijui Dr masikini wanaotegemea ajira za serikali.

Pumbavu sana ase
Very narrow minded. Kwani kwa upande wako utajiri unaanzia kiasi gani?

Mwingine kuwa na PhD ndiyo kupambana kwake ilinkulisha familia. Salary, consultant money, uwezo wa kukopa ili kuanzisha miradi mingine, kufanya kazi zaidi ya chuo kimoja, Kupata vyeo vya kisiasa na kijamii; vyote hivi ni vyanzo vya pesa kwa PhD holder.

Labda uniambie kufanikiwa ni kuwa na pesa kama bakhresa au mo, na uniambie ambao hawana PhD Wote au wengi Wana pesa kama hizo.
 
Elimu iliyomkomboa mtu,ni kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine, tofauti na hapo elimu inakuwa haijakusaidia zaidi ya kukariri
Kwani PhD holder hawezi kuwaajiri wengine?

Kwani PhD holder hawezi kufanya kazi chuo na akajiajiri pia, kwasababu anaweza kukopa pesa nyingi tu na anakuwa na free time kubwa Sana.

Hivi ukiwa unaingiza kiasi gani ndiyo unakuwa umefanikuwa?

Unapozungumzia ajira unamaanisha awe amewaajiri watu wangapi na anawalipa kiasi gani, ndipo useme elimu imemuokoa?
 
Tembelea forbes
 
Halafu litakuja jitu limekaririshwa na kujirundikia mikaratasi inayoitwa PhD linajiona la maana wakati linasubiri kuajiriwa na mfukoni halina hata mia.

Nafurahia sana kuona vijana wakipambana mtaani kusaka pesa kuliko haya majamaa hayawezi hata kujiajiri halafu yanaaminishwa eti ni wasomi wana akili kwa kumiliki makaratasi yanaitwa PhD.

Mi kwangu mwenye akili ni yule alieweza kujiajiri na kuajiri wengine.
Tatizo elimu wanayoipata si ya kutatua tatizo, ndio maana wengi wanategemea kuajiriwa.....bila kuajiriwa wanakuwa na hali ngumu sana
 
Labda kidogo phd za afya na tiba ndio kidogo wana maisha.
Lakini phd zenu za Kiswahili zakutegemea uajiriwe chuo kikuu kwa mshahara wa m2 kwa mwezi huo ni umaskini wa kiwango cha juu sana.

PhD unashindwaje kujiajiri na kusubiri kuajiriwa?

Nasisitiza Phd yenye tija ni afya na tiba tu nyie wengine wote ni masikini. Phd holder anachiweza kumshinda mmachinga wa kariakoo ni idadi ya tai na makoti ya mitumba anayomiliki wakati unakuta mmachinga akaunti inasoma mpaka 50m.

Sasa kama mtu wakawaida anaweza kujitafutia na kupata 10m kwa mwezi halafu wewe phd umeajiriwa kwa 2m monthly sasa si uchizi huo

Phd huwezi kujiajiri sasa hiyo ni akili au matope.

Tofauti ya akili kubwa na ndogo ni uwezo wa kumiliki pesa na sio makaratasi wazungu waliyoita jina la PhD.

Heshima pesa sio makaratasi PHd
Kwani PhD holder hawezi kuwaajiri wengine?

Kwani PhD holder hawezi kufanya kazi chuo na akajiajiri pia, kwasababu anaweza kukopa pesa nyingi tu na anakuwa na free time kubwa Sana.

Hivi ukiwa unaingiza kiasi gani ndiyo unakuwa umefanikuwa?

Unapozungumzia ajira unamaanisha awe amewaajiri watu wangapi na anawalipa kiasi gani, ndipo useme elimu imemuokoa?
 
Kama hayo ndio mawazo yako wewe mwenye PhD ndio maana mnakufa masikini na mnaishi kwa kudharauliwa na wenye pesa.

Yaani weee na hilo likaratasi lako la Phd bado una akili za kuajiriwa chuo kikuu ukafanye kazi ngumu ya ualimu au unaota kuteuliwa vyeo vya kisiasa?

Ndio maana mnadharaulika sana kwa sababu hii maana makaratasi yanawafanya kuwa tegemezi na mzigo kwa jamii.

We unafikiri Musukuma std 7 na we na li karatasi lako la Phd nani anaonekana ana akili kuliko mwingine? Musukuma ana uhuru wa kiuchumi wakati wewe ni mtumwa na anaweza kukuajiri.

Akili ni kumiliki pesa kinyume chake ni ukurutu tu.

Very narrow minded. Kwani kwa upande wako utajiri unaanzia kiasi gani?

Mwingine kuwa na PhD ndiyo kupambana kwake ilinkulisha familia. Salary, consultant money, uwezo wa kukopa ili kuanzisha miradi mingine, kufanya kazi zaidi ya chuo kimoja, Kupata vyeo vya kisiasa na kijamii; vyote hivi ni vyanzo vya pesa kwa PhD holder.

Labda uniambie kufanikiwa ni kuwa na pesa kama bakhresa au mo, na uniambie ambao hawana PhD Wote au wengi Wana pesa kama hizo.
 
Kama hayo ndio mawazo yako wewe mwenye PhD ndio maana mnakufa masikini na mnaishi kwa kudharauliwa na wenye pesa.

Yaani weee na hilo likaratasi lako la Phd bado una akili za kuajiriwa chuo kikuu ukafanye kazi ngumu ya ualimu au unaota kuteuliwa vyeo vya kisiasa?

Ndio maana mnadharaulika sana kwa sababu hii maana makaratasi yanawafanya kuwa tegemezi na mzigo kwa jamii.

We unafikiri Musukuma std 7 na we na li karatasi lako la Phd nani anaonekana ana akili kuliko mwingine? Musukuma ana uhuru wa kiuchumi wakati wewe ni mtumwa na anaweza kukuajiri.

Akili ni kumiliki pesa kinyume chake ni ukurutu tu.
Narrow minded people mnashida sana.

Tatizo una inferiority complex na hauna information ya unachosema.
Haya mnyonge
 
Watu masikini na wavivu kufikiri kama wewe tu ndio wanahangaika ma hayo matakataka ya makaratasi sijui mnaitaga phd.

Bora Hamorapa anathamani kubwa kuliko wewe Phd holder ulieajiriwa kwa mshahara wa m2 kwa mwezi.

Ndio maana watu kama nyie wamiliki wa mikaratasi mnakuwaga frustrated na maisha kwasababu mnasoma ili mpewe kazi na serikali mwisho wa siku mnakuwa masikini na phd zenu za kiswahili.
Narrow minded people mnashida sana.

Tatizo una inferiority complex na hauna information ya unachosema.
Haya mnyonge
 
Hii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?

Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Kwa sababu na nyie mnataka kuajiriwa na sio kutoa ajira, miaka nenda miaka rudi, yaani hamna tofauti na hg.
 
Back
Top Bottom