and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
- Thread starter
- #301
Mhe PhD holder ongeza tozo
Very trueVyanzo vya maji nchini hazihitaji PhD
Nani hataki kulamba asali?Wanachukia MATENDO ya mwenye PHD kwani ni Aibu mzee wa PhD kujipendekeza pendekeza ili Upate mkate wa siku badala ya kutumia PhD yako kupata mkate
Bora usiwe na PHD kama ya Mwigulu utadharaulika sana mkuu.Hii imekaaje? Yaani tukimbie umande wenyewe wakati wenzetu wamekakomaa mpaka kapata PhD halafu tunanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
View attachment 1696397
Mwenyekiti awe Dr Kapiga.Tume ya kuratibu PhD
Ndo uwezo wako wa kuwaza umeishia hapo?Wabongo wanataka mwenye PhD awe na mawazo kama yake wa darasa la saba.
Yaani wanataka wafanane mawazo, bila hivyo mara ni msaliti, mara PhD fake au elimu haija msaidia.
Mtu unalazimisha wa PhD awe na mtazamo kama wako wa darasa la 7.

