and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
- Thread starter
- #61
Rudi shule ukapate elimu
Rudi shule ukapate elimu
Salaam zimfikie Dr ShikaHii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Mwenye Degree 4 si ndio alisema ndoa kufungwa lazima uwe na cheti cha kuzaliwa.
Hata ukiandika kwa kilatini bado hoja yako dhaifu PhD ni daraja kubwa mno na wanaofika pale ni watu wanaofikiri zaidi ya kawaida kwa ufupi ni Magenius tu. Hapa hakuna huruma rudi shule upate PhD kama unafikiri ni rahisi. Hiyo division five yako eti umkosoe PhD. haaaaaaaaa KILA UTAKACHOSEMA WEWE NI MARUDIO TU KWA MWENYE PHD HUNA JIPYA.
Ur very correct BroHata ukiandika kwa kilatini bado hoja yako dhaifu PhD ni daraja kubwa mno na wanaofika pale ni watu wanaofikiri zaidi ya kawaida kwa ufupi ni Magenius tu. Hapa hakuna huruma rudi shule upate PhD kama unafikiri ni rahisi. Hiyo division five yako eti umkosoe PhD. haaaaaaaaa KILA UTAKACHOSEMA WEWE NI MARUDIO TU KWA MWENYE PHD HUNA JIPYA.
Watanzania ndio wanashupalia haya ukiwahoji vizuri wanamtaja Mboe kama mfano wao mkuu.Halafu tumebuni faraja kuwa elimu sio kitu, kwamba waliofanikiwa kimaisha ni watu wasiosoma.... na tunayo mifano lukuki kujifariji.
shida ni magidai ya degree nne rafiki!!Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
ForeverMore,
Mwenye Degree 4 si ndio alisema ndoa kufungwa lazima uwe na cheti cha kuzaliwa.
PHD za wabongo ni sawa na wenye vyeti vya darasa la 7,Eti una PHD unasema uliokotwa jalalani?Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).