Watuachie tu tuanze kupiga kura . Congo lazima ishindeMimi nipo na big Hadi mwisho wa pambano
Mkali sana yule Dada walaq
Ametulia sana
Na ambao zake za shati na jinsi,
Anaangusha key Moja baada ya nyingine
Wacheze na herufi kidogo maana imekaa kikanisaMuda wa kuiita EAGT
Uzuri mshindi hategemei kura zetu pekeeWatuachie tu tuanze kupiga kura . Congo lazima ishinde
Show ziliwadodeaWamewakimbia wale wachina wa Startimes
Kilio chako kimesikiwa! Jpil hii kavaa gauni la njano, wig, full make up kapendeza hatariiiWeweee,, sio kwmba anapenda ni vile dizaina katonywa tu aharibu wapate Chaka
Madame anavyopenda vijana wapendeze halafu mcongo anakuja rafu kwa stage!!!!!
Haki yake ya kupendeza ataipatia kutoka jeshi la TikTok na ndio hapo praise atakapoanza kulia kiganda.
Hatimae,, tusubiri jumapiliKilio chako kimesikiwa! Jpil hii kavaa gauni la njano, wig, full make up kapendeza hatariii
Ok,, kama wanastahili wapate tu Haina namnaUzuri mshindi hategemei kura zetu pekee
Anayejua muziki ndiye atakayeshinda
BSS tunaomba sana
Hili pambano likirndelea beyond borders
Hizi hela ni za Wacongo
Nahofia sanaOk,, kama wanastahili wapate tu Haina namna
Wanapiga DuetKilio chako kimesikiwa! Jpil hii kavaa gauni la njano, wig, full make up kapendeza hatariii
Mwisho wa siku majani wataamuaNahofia sana
Wanaweza kubalance pambano maana mwaka jana mshindi alitokea Kongo
Wasimdhulumu tu dada wa Goma hela zakeMwisho wa siku majani wataamua
Praise anajua ile mbaya yule dada anaimba nyimbo ngumu alafu anaifanya iwe rahisi ambayo kama una sauti ya tia maji tia maji lazima ikushindeSwitney wamemroga
Mwanzo alikuwa moto sana
Mi nilikuwa shabiki yake
Ila alivyokuja Freya
Nimehamia mazima Congo
Wacongo wawili wote wa moto sana.
Huyo praise sijui Kwa vile ni mimi sijui muziki
Mtu anapayuka payuka
Mitetemo hovyohovyo
Praise anajua sana kwangu yule ndio namba 1 kwenye uimbaji sio kwamba anabebwa uwezo wake ndio unambeba ni vile wa bongo hampendi nyimbo za kiingereza ndio maana mna mtazamo huo. Nyimbo anazoimba ni ngumu kama una uwezo wa kawaida huwezi kuimbaPraise inaonekana wazazi wake wapo jiran sana na madama ritha
Belanuts nahisi ananyota ya kupendwa zaid
Ila kale kadada kanakochana kanajitahid SANA NAKAOMBEA KACHUKUE TAJI KABISA
Sio kweli kwenye waimbaji wote wale Saint Anne hakuna anayemfikia Praise kwenye uimbaji ni vile tu nyinyi hampendi nyimbo za kiingereza, nyimbo anazochagua kuimba yule dada ni ngumu kama vocal yako ni ya kawaidaMtoto pendwa wa Majaji haguswi
Hata akiimba vibaya
Wao ni kusifia tu.
Na kisa yeye leo kaboronga
Basi hawatoi mtu.
Wanasubiri Watanzania waboronge wawafyekee mbali .
Hili shindano lishakuwa na upendeleo wa wazi kabisa.
Ni kweli Watanzania wana uwezo mdogo kiuimbaji
Ila leo Nafasi ya Zion na osndi Dangerzone alitakiwa kukaa Bellanuts from Rwanda
Na praise from Uganda.