Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
- Thread starter
-
- #361
Hii chuki tuliiona toka mwanzo🤝
H kweli wamezingua, at least bc ht wangemuweka watatu
Sofire_Tz from Mbeya na Mlimba MoroHuyo Home G anayechana anaitwa nani??
Nikamfuatilie sasa
Ni waongoNimesikia wana mapango wa kusign kipaji kipya kutoka east africa
Propaganda za RitaAlistahili kuwa no 2 hata sijui nini kimetokea
Ndiyo iliyomuingiza usailini na kambini.So fire muda wote hip hop tu 😂
Anyway, anajua lkn
Mshindi wa pili Saluh wa BSS yupo Wasafi na ndio back vocal wa tour ya Retro yake Diamond namuona sana sema Wasafi Wana utaratibu wao wakitoa msanii wanakuandaa then wanakutoa kama ilivyokuwa kwa Zuchu kasota pale Wasafi miaka 4 mpaka kuja kutolewaNi waongo
Hata washiriki wa BSS mwakajana mshindi wa 1&2 Diamond aliahidi kuwasaini ila hadi holaaa
Mwaka huu akarudi na porojo kuwa anataka amsaini Joshua Gully from Congo.
Kwanza kwa huo wimbo, nazidi kuelewa kwanini sio mshindi.
Hii kwa mimi ingekuwa.3rd round performance
1 Freya Bellamy
2 Samarelah
3 Praise
4 Sophia
Hata mimi ningeweka hiviHii kwa mimi ingekuwa.
1.Praise
2.freya
3.samarelah
4.sophia
Mwaka jana mshindi wa 1 alipata Milioni 20ila mshindi wa kwanza apate 50m na gari na nini sijui
alafu mshindi wa pili milioni 5 aiseee
yaani inaboa sana 🤣🤣Mwaka jana mshindi wa 1 alipata Milioni 20
Wa 2 alipata Milioni 3
Wa Tatu alipata Milioni 1
Wa 4 na 5 walipata kilo 60 za Bwana sukari.
Yaani unamuweka mtoto wa watu 3 months afu unampa Bwana sukari.
Wa 6 Hadi nane ndio waliwapa Asante kwa kushiriki.
Hizi zawadi hazipo kuwabeba na kuendeleza future ya mshindi wa 2 Hadi 10.
Zipo kumbeba na kuendeleza mtu mmoja tu.
Mimi sikuhizi siangaliag huo ujinga Kuna ubabaishaji hapoMwaka jana mshindi wa 1 alipata Milioni 20
Wa 2 alipata Milioni 3
Wa Tatu alipata Milioni 1
Wa 4 na 5 walipata kilo 60 za Bwana sukari.
Yaani unamuweka mtoto wa watu 3 months afu unampa Bwana sukari.
Wa 6 Hadi nane ndio waliwapa Asante kwa kushiriki.
Hizi zawadi hazipo kuwabeba na kuendeleza future ya mshindi wa 2 Hadi 10.
Zipo kumbeba na kuendeleza mtu mmoja tu.
Kama ametimiza ahadi basi afadhaliMshindi wa pili Saluh wa BSS yupo Wasafi na ndio back vocal wa tour ya Retro yake Diamond namuona sana sema Wasafi Wana utaratibu wao wakitoa msanii wanakuandaa then wanakutoa kama ilivyokuwa kwa Zuchu kasota pale Wasafi miaka 4 mpaka kuja kutolewa
Alishasema eti washiriki ndio wapambane wawe namba 1yaani inaboa sana 🤣🤣
Shindano lipo kumuundeleza mtu mmoja tuMimi sikuhizi siangaliag huo ujinga Kuna ubabaishaji hapo
Yani wa kwanza million 50 halafu wa pili ??! 😁Shindano lipo kumuundeleza mtu mmoja tu
Na kuwaacha wengine hawana chochote mkononi
Hiyo ni nzuri, kuongeza upambanaji na juhudi binafsi ya kila msanii. Ukiweka pesa nyingi kwa mshindi wa 2 - 5, wanabweteka wakijua pesa ipo ya kutosha.Alishasema eti washiriki ndio wapambane wawe namba 1
Sasa kila mtu atakuwa namba1?
Wanapewa na masharti ya kutengeneza album hapo ndipo wasanii wanaposhindwa inabidi uwe nzuri kwenye kutunga nyimboKama ametimiza ahadi basi afadhali
Milioni 5Yani wa kwanza million 50 halafu wa pili ??! 😁
Kujua kuimba ni kitu kingine na kuweza kutunga nyimbo ni jambo jingineWanapewa na masharti ya kutengeneza album hapo ndipo wasanii wanaposhindwa inabidi uwe nzuri kwenye kutunga nyimbo