Bongo Star Search (BSS) na mshindi mzungu!!

tanzania sio ulaya ndio maana hata ukimpiga busu mwanamke hadharani ni kosa, kufanya tendo la ndoa hadaharni ni kosa. kuruhusu itv kutuonyesha yule mama alivyova kama yupo beach ni hatari, inaonyesha maadili zero hapo

Ndugu, hivi wewe uko sehemu gani ya Tanzania? Itigi?

Tangu lini busu hadharani limekuwa kosa na ni kosa kwa mujibu wa nani?
 
nenda posta halafu mbusu mwanamke mbele ya jamii. kama hutaozea jela

Nshakula denda posta, coco beach, gymkhana, mtaa wa Samora, Nyakabindi, Simiyu, Kisesa...you name it. Na bado nipo...au wakati nafanya hivyo mgambo wa maadili hawakuwa wanapiga doria?
 
Tumpe mzungu ili Tutangaze na kuandaa mazishi ya Salama.Amesema sasa hivi kma Mzungu akishinda atajipiga Risasi.Tumpe mzungu ili ajipige risasi
 
Kwa wale wanaofuatilia BSS 2010 live on ITV, Yule Mzungu alipomaliza kuimba alipewa nafasi Salam kutoa judgement akasema Mzungu akishinda BSS 2010 atajipiga risasi.Hii ni dharau kubwa sana na hata kama ni mzungu TZ hatuna ubaguzi wa namna hii.Imenisikitisha sana.Tumpigie mzungu kwa wingi ili tuone atakavyojiua.Tuma BSS 07 KWENDA 15550
 
hyu sista hana akili nzuri! hivi ni lesbian vile?
 
Kama ni mzungu akafie mbali wanadharau sana hao Wazungu! Wewe ukisema Nchi haina ubaguzi wao mbona wabaguzi? Kwa Salama acha ajiue tu wengine wapate Ajila kufa kufaana!
 
Yaani salama amesimama mbele kavaa suruali. dah sina chakusema utafikiria.......
 
Yaani!! Mimi mwenyewe nita jiunga na salama sema sita jiua, ila kesho sitakula mchana tu.
 
Mshindi anajulikana kwani nasikia kuwa zamu hii ni ya mwanamke kwakuwa haki sawa kwani mwaka jana alikuwa mwanume....haya mambo sijui yataendelea mpaka lini? haki sawa bila uwezo.
may be mshindi wanamjua ndo maana kasema hivyo
 
wote wabaguzi, mzungu uko juu shida yao wampe UBSs James Martin,J m hana cha maana wanababaika na muuza sura. au kidada kile kisicho hata na shape.
 
Kwa wale wanaofuatilia BSS 2010 live on ITV, Yule Mzungu alipomaliza kuimba alipewa nafasi Salam kutoa judgement akasema Mzungu akishinda BSS 2010 atajipiga risasi.Hii ni dharau kubwa sana na hata kama ni mzungu TZ hatuna ubaguzi wa namna hii.Imenisikitisha sana.Tumpigie mzungu kwa wingi ili tuone atakavyojiua.Tuma BSS 07 KWENDA 15550

Pamoja na kwamba sifuatilii BSS 2010.........Sitaki kuamini kuwa nimesahau Kiswahili............hii habari sijaielewa........
 
Rita ajifunze kuongea kwenye hadhara, haonyeshi kubadilika eneo hilo.

Otherwise nimefurahia show ya Mwasiti
 
BSS 2010 siamini eti Waziri ametolewa round ya kwanza. Hakuna kitu hapo siamini, siamini majaji na nahisi kuna tatizo fulani katika kujudge . Nasema haiwezejkani walijua kua akibaki na Payne moto utawaka! Ok mpeni tu payne na mama wa Taarab tunaweza kuhisi mnachotafuta.
 
Back
Top Bottom