Kama ni kweli Bongo Star Search (BSS) wanataka vipaji, ni vyema wakapitia kipindi cha Dakika Kumi za Maangamizi kinachorushwa na East Africa Radio

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,741
Bongo star search (BSS) kimekosa mvuto na sijui hao wakina Master Jay na Salama jabiri wanatafuta vipaji vya namna gani??

Kama ningepewa nafasi ya kupendekeza Basi @NALIANGWENA ningependekeza hiki kipindi kiitwe Comedy star search (CSS) na siyo bongo star search Kama wanavyokiita.

Mpaka Sasa nilipiga hesabu kwa haraka haraka sioni msanii aliyestawi kutoka kwao na kuwa star mkubwa hapa Tanzania hakuna na sijui hao washindi wanaposhinda huwa wanakwenda wapi haifahamiki.

Kila ninapotazama kipindi huwa napata mashaka na kujiuliza je Hawa wanaotafuta vipaji na wanaokwenda KUONESHA vipaja vyao wanajua vigezo/ kilichowapeleka pale ?

Jibu langu la moja kwa moja ni hapana kwa sababu huwa sioni vipaji Bali huwa naona watu wanaoimba/wanakopi nyimbo za wasanii na kuziimba palee na endapo utaimba vizuri Kama alikiba au diamond alivyoimba kwenye hiyo nyimbo yake Basi unakua umelamba dume /umetoboa lakini kiuhalisia hauna talanta/talent y kutunga au kuomba wimbo wako Binafsi.

Sijui hiyo Bongo star search Ina muda gani katika hii industry ya kutafuta vipaji lakini ukitazama mafanikio ni madogo kuliko/hakuna kabisa kulingana na uanzishwaji wa Hiyo project.

Maoni Yangu: BSS Kama wapo serious katika utafutaji wa vipaji watazame kipindi Cha Dakika kumi za maangamizi watajifunza na kuona ni namna gani vipaji vipo lakini tofauti na hapo wanachokifanya ni kutafuta comedy /comedian tu hapa Tanzania lakini ukija kwenye Talanta ya music hakuna kitu.
 
Wangebadili muundo msanii anayejitokeza aimbe wimbo wake mwenyewe. Hiyo itasaidia kuwatambua wenye vipaji kweli
 
Kweli kabisa Mkuu upo sahihi eti mtu akikalili nyimbo moja ya Ali kiba anaenda kuimba pale.
 
Bongo star search (BSS) kimekosa mvuto na sijui hao wakina Master Jay na Salama jabiri wanatafuta vipaji vya namna gani??

Kama ningepewa nafasi ya kupendekeza Basi @NALIANGWENA ningependekeza hiki kipindi kiitwe Comedy star search (CSS) na siyo bongo star search Kama wanavyokiita.

Mpaka Sasa nilipiga hesabu kwa haraka haraka sioni msanii aliyestawi kutoka kwao na kuwa star mkubwa hapa Tanzania hakuna na sijui hao washindi wanaposhinda huwa wanakwenda wapi haifahamiki.

Kila ninapotazama kipindi huwa napata mashaka na kujiuliza je Hawa wanaotafuta vipaji na wanaokwenda KUONESHA vipaja vyao wanajua vigezo/ kilichowapeleka pale ?

Jibu langu la moja kwa moja ni hapana kwa sababu huwa sioni vipaji Bali huwa naona watu wanaoimba/wanakopi nyimbo za wasanii na kuziimba palee na endapo utaimba vizuri Kama alikiba au diamond alivyoimba kwenye hiyo nyimbo yake Basi unakua umelamba dume /umetoboa lakini kiuhalisia hauna talanta/talent y kutunga au kuomba wimbo wako Binafsi.

Sijui hiyo Bongo star search Ina muda gani katika hii industry ya kutafuta vipaji lakini ukitazama mafanikio ni madogo kuliko/hakuna kabisa kulingana na uanzishwaji wa Hiyo project.

Maoni Yangu: BSS Kama wapo serious katika utafutaji wa vipaji watazame kipindi Cha Dakika kumi za maangamizi watajifunza na kuona ni namna gani vipaji vipo lakini tofauti na hapo wanachokifanya ni kutafuta comedy /comedian tu hapa Tanzania lakini ukija kwenye Talanta ya music hakuna kitu.
Utawalaumu bure tuu, kama watanzania walimpigia kura Jumanne kisa kwao maisha magumu kuliko wenzie unategemea vipaji?

Au yule watanzania walimpigia kura kisa tuu mkewe alijufungua wakiwa kwenye mashindano na kumpa mtoto jina la Madam Ritha
 
ILA KWELI MKUU WATANZANIA WAKARUKA NAE NA KUMPA CROWN
 
Back
Top Bottom