Sasa Jaji hajui rhythm ya uzaziWale watu wanajiona kama Mungu watu kwamba wamebeba hatma ya maisha ya watu 🗑️
N bc tuu Wabongo tunapenda content za kipumbavu, ukitaka kuamini hilo angalia wanachoonyesha kwenye tv na mitandao yao ya kijamii.Kwa hiyo inatoa talents uchwara uchwara tu.😀
😅😅😅Sasa huyu ana ustar gn, mtu amebaki kusubiri misiba ya viongozi ili aweke majina yo kwenye nyimbo zake alizokwisha kuziandika apate chcht Kitu Kwenye show, anabakiwa na kipi kingine?
Walipomkataa tu Harmonize nikasema baaasi hakuna wasaka mziki hapa
Tupo wengi broh! Mimi mwenyewe nimetokea huko. Nilikuwa sikosi kuangalia vipindi vyao! Mpaka marudio yake.Back then nakumbuka Jumanne Idd, Chiku Ketto na Kala Jeremiah. Sijui nani mwingine ashawahi toka recently. Au ni drama tu kama drama nyingine?
Tena Salama ndio kabisaa, yaan yule dada ni hatariii.Hao wanaojiita majaji sidhani kama wanaujua huo mziki wenyewe... Hata elimu yao ya mziki ni ya hapa na pale.. Wanaendesha vitu kwa utashi wao binafsi na jinsi watavyompenda muimbaji
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huyu ana ustar gn, mtu amebaki kusubiri misiba ya viongozi ili aweke majina yo kwenye nyimbo zake alizokwisha kuziandika apate chcht Kitu Kwenye show, anabakiwa na kipi kingine?
Sema saraphina Michael, phina phina ndo linini...😅Phina
Komwee, umefufukia wapi tenaa? [emoji23][emoji23][emoji23]Sema saraphina Michael, phina phina ndo linini...[emoji28]
Ulipo nipo...Komwee, umefufukia wapi tenaa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio superstar letu la Misiba ?Msechu alitokea huko pia.
Saraphina, Frida Amani, Kayumba, Peter Msechu nkBack then nakumbuka Jumanne Idd, Chiku Ketto na Kala Jeremiah. Sijui nani mwingine ashawahi toka recently. Au ni drama tu kama drama nyingine?
ChaiWalipomkataa tu Harmonize nikasema baaasi hakuna wasaka mziki hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulipo nipo...