Bongo Star Search (BSS) ishawahi kumtoa Star gani hapa Bongo?

Bongo Star Search (BSS) ishawahi kumtoa Star gani hapa Bongo?

Tena Salama ndio kabisaa, yaan yule dada ni hatariii.
Umenikumbusha. Niliwahi kusikiliza Interview ya ya Huyo Master Jay akihojiwa na Salama... Master Jay alisema mziki alielekezwa na producer mmoja hivi akiwa hostel kipindi anasoma.. Sijui kwanini nilipata hasira kuona wanachokifanya.
 
Back
Top Bottom