Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Hapo kuna Arusha 2 na Dsm 1. Kayumba hapo kuchomoa ni ngumu.
 
Kayumba akaze buti maana hapa kabaki na mafundi watupu,natamani aimbe ule wimbo wa Adda wake Mr. Flavour
 
Acha asepe tu anajifanya mzungu kutamka vimaneno kwa english
 
mc katamka hapa kazi tuu, watazamaji wakagoma wakazungusha mabadilikoooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom