Habari zenu Wakuu.
Naomba kama kuna mtu anayefanya kazi TAMISEMI Dodoma au mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi huko, ani-PM tafadhali. Nina jambo binafsi ambalo ningependa kupata ushauri na msaada kuhusu namna ya kulishughulikia. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeniunganisha na mtu sahihi. Asanteni.