masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,781
- 16,717
mkojo umenibana na kula wala sikuweza kula vizuri leoJamani hata mie ningejua mapema i cud hv voted alooooot for him, daah karoho kananidunda utadhani mie ndio mshiriki.
mkojo umenibana na kula wala sikuweza kula vizuri leoJamani hata mie ningejua mapema i cud hv voted alooooot for him, daah karoho kananidunda utadhani mie ndio mshiriki.
Huyo pawa mabula katokea wap tena?
Naasi kambi ya Kaskazini jamani,ukabila pembeni......Kayumba ndiye mshindi wangu.
Huyo bodyguard na mwili wote huo ni mpaka atafutiwe hela na BELLA. Mwili bila kipaji ni sawasawa na siasa na pushups haviendani kabisa
Huyu christian Bella kabarikiwa masauti aisee loh!
Yani unasikiliza hadi unasinzia. Akianza kucheza sasa mmmh
Unamuongelea nani??
Uliona ile siku aliyouimba alivyoupatia?
Nakuhakikishia ataimba huu,stay tune....utanitafuta.
Jamani Christian Bella aimbe basi ule wimbo wao mpya wa Amerudi?Naupenda sana huu wa asubuhi na mama zimechosha.
Hahahahh
Naona Bella amekikoleza hasaa cha kongo!udi aliouchoma leo ni mkali sana!sio kwa mihela hiyo
Unamkera dokta wakati unajua we mgonjwa..shauri yako..utawehuka
Uwiiiiiiiiii!Amerudi jamani analiaaaa naupenda sana huu wimbo.