Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Bella ni mshenzi sana basi tu mimi ananiudhi anavojua yani dah
 
nimedilt fasta hyo coment

nimetukana hapa nilipo
i love fonabo
ALAFU NIMEBET PESA MING HAPO

Jamani hata mie ningejua mapema i cud hv voted alooooot for him, daah karoho kananidunda utadhani mie ndio mshiriki.
 
Heaven Sent Douta na si tuanzishe band..ulisema unajua kuimba ehee??
 
Last edited by a moderator:
Huyo bodyguard na mwili wote huo ni mpaka atafutiwe hela na BELLA. Mwili bila kipaji ni sawasawa na siasa na pushups haviendani kabisa
 
Ananikosha sana coz huwa namfananisha na Barnaba hasa muonekano. Na ukizingatia Barnaba kwangu ndio mwanamuziki kiukweli kwa upande wa rika lake.

Mimi ni yuleyule the one and only K lakini kwa sasa nimempa likizo.
 
Naona Bella amekikoleza hasaa cha kongo!udi aliouchoma leo ni mkali sana!sio kwa mihela hiyo
 
Sikujua kama christian Bella ana hips..Ndo nimeziona leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom