Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Lakini sioni mchango wa kura tunazopiga kwa sababu mtu aki underperfom on the spot kapotezwa..
 
Hapa wanabaki kayumba na fridah! Calvn kaniumaa sana aisee!
 
Hivi nyinyi Huwa mnadhani kila kitu ni Siasa uchwara za kujidanganya hapa

Halafu nilikuwa nafanya makusudi ili kiherehere kama wewe alete shobo,unatakaje kwa mfano?
Nasema chochote ninachotaka,kwani nimekutumia PM hadi ulalamike?
Lala mbele huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom