kimugina
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,142
- 577
Ndo hasara za kutumika kwenye political campaigns, just watch Diamond atakavo underperform leo.
Chibu hayupo Tz Mkuu.
Ndo hasara za kutumika kwenye political campaigns, just watch Diamond atakavo underperform leo.
Dah ametoka?!? naenda zangu kulala sasa
navy kenzoNimependa hii burudani ya hawa wadada na huyu dogo wanatumbuiza hivi sasa, sijui wanajiitaje?
Watanzania Kama Ilivyo Kawaida Yetu Kwa MAJUNGU Na Tumeshaanza Sasa. Hakuna Ambaye Hajaona Juhudi Za KAYUMBA JUMA. Na Labda Nikuhakikishie Kuwa Huyu Ndiye Mshindi Wa BSS Na Asiposhinda Basi Ujue Hata Dr. Magufuli Hawi Rais Wetu Mwaka Huu 2015. Nilisema Kuwa Kati Ya ANGEL MARIE KATO Na KAYUMBA JUMA Lazima Mmoja Wapo Atakuwa MSHINDI Na Itakuwa Hivyo. Sijawahi Kutabiri Halafu Isiwe 100% Correct.
Navy kenzo (nahreel na aika)
kumbe member sikujuaKayumba ni member wa yamoto band...ila hiyo sio sababu ya yeye kushinda..Juhudi zake ndo zitampa ushindi..Dogo anajua
tunatoa stress za siasa huku buanaaa!mbona unatukera lakini?!
I guess so, ni kati ya wasanii walitangazwa kuwepo at the final.
ila vinamfanya a look sexysikuona sababu ya AIKA kuvaa hivyo viatu!vinamnyima uhuru kabisa
Kayumba ni member wa yamoto band...ila hiyo sio sababu ya yeye kushinda..Juhudi zake ndo zitampa ushindi..Dogo anajua
Hebu mueleze siasa zinachosha