Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Hapa majaji wamekuwa fair, mshindi ni Kayumba au Naseeb Fanabo. Nasikia kayumba ana back up ya kiongozi wa yamoto band so atashinda tu
Lakini tuwe fair, hata kama kayumba ana back up but amejua kujibeba haswaa. Hadi hapo alipo ni juhudi zake binafsi
 
Nimependa hii burudani ya hawa wadada na huyu dogo wanatumbuiza hivi sasa, sijui wanajiitaje?
 
Hapa majaji wamekuwa fair, mshindi ni Kayumba au Naseeb Fanabo. Nasikia kayumba ana back up ya kiongozi wa yamoto band so atashinda tu
dah why awe na back up

who is kayumba to yamoto band?

why wasimtoe kimziki before?
 
Hapa majaji wamekuwa fair, mshindi ni Kayumba au Naseeb Fanabo. Nasikia kayumba ana back up ya kiongozi wa yamoto band so atashinda tu

Kayumba anastahili mkuu
 
Hapa majaji wamekuwa fair, mshindi ni Kayumba au Naseeb Fanabo. Nasikia kayumba ana back up ya kiongozi wa yamoto band so atashinda tu

Watanzania Kama Ilivyo Kawaida Yetu Kwa MAJUNGU Na Tumeshaanza Sasa. Hakuna Ambaye Hajaona Juhudi Za KAYUMBA JUMA. Na Labda Nikuhakikishie Kuwa Huyu Ndiye Mshindi Wa BSS Na Asiposhinda Basi Ujue Hata Dr. Magufuli Hawi Rais Wetu Mwaka Huu 2015. Nilisema Kuwa Kati Ya ANGEL MARIE KATO Na KAYUMBA JUMA Lazima Mmoja Wapo Atakuwa MSHINDI Na Itakuwa Hivyo. Sijawahi Kutabiri Halafu Isiwe 100% Correct.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom