Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Ya Moto wamechoka jamani!Kuzunguka mikoa yote na mzee wa Arincherema sio rahisi!
cc GENTAMYCINE
 
Last edited by a moderator:
Hawa watoto washenzi jamani!Ndio nini kuuliza wenye miwa?
Ptuuuu sijaipenda.
 
jamani hawa madogo mbona wanatukana tena eti wanaume wenye muwa mara vibamia
 
yamoto hawashangiliwi km zamani tushawaona sana kwa magufuli
 
Maromboso acha matusi aaarrrgggh khaaa uyu Aslay nae ukimuonja humuachi kaaa balaa
 
Madogo hawa mbona wanaleta matusi hadharani sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom