masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,730
- 16,488
why?Huyu Frida mi naona aibu kwa niaba yake mweh
kabla sijasema nalowaza
why?Huyu Frida mi naona aibu kwa niaba yake mweh
Huyu Frida mi naona aibu kwa niaba yake mweh
Angel ana hati hatiHebu tuweke 3 bora hapa!
Angel
Kayumba
Malizia.....
star tv sijui kamera zao wamepaka mafuta....mbona mary amenona sana mafuta usoni
Nimeipenda perfomance na hata wimbo.....na tusubiri tuone.
why?
kabla sijasema nalowaza
she is dopeunawaza lipi?
huu wimbo alioimba Frida utampaisha, angel kakosea