lomayani saevie
Member
- Jun 20, 2015
- 74
- 105
frida amani
Yupo vizuri mno aise
Yupo vizuri mno aise
Top 5 kwanza mkuu
Mmh umeanza!!
Huyu Frida anaitia aibu hiphop, toka lini hiphop ikakatiwa viuno
Huyu Frida anaitia aibu hiphop, toka lini hiphop ikakatiwa viuno
Hamna jamani mwer frida ana ugumu fulani hivi wa ki -hip hop + swagga za kiarusha. Hajakaa kiugumu wa "tomboy"Kanaweza kuwa aisee
huyu naye kavaaje
ahahahaha!!si swaga za nickminaj jamani!!Kala jeremaya mbona anasuti halafu anachana?
Hamna jamani mwer frida ana ugumu fulani hivi wa ki -hip hop + swagga za kiarusha. Hajakaa kiugumu wa "tomboy"
suti sio tatizo, hata kina jigga wanachana na suti, ila viuno not good!
suti sio tatizo, hata kina jigga wanachana na suti, ila viuno not good!