Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Umeona alivyosimama sasa. Ngoja aje na mataarabu yakeZone yake hiyo..akizingua basi anatoka
Umeona alivyosimama sasa. Ngoja aje na mataarabu yakeZone yake hiyo..akizingua basi anatoka
Jamani washiriki wa Leo hawako vizuri ka siku nyingine sijui ni homa ya finale
Kweli wamepaniki kidogo
Hahahha sawa mama kiliziNacheki tu hapa..Kayumba kaniliza. Teh teh
Jack anapita top 5...
Mmh kupaniki lazima kuwepo bana, hata ujiandaaje. Naona kama jack amerelax na sauti imesikikaInawafanya wasiimbe vzuri wangeandaliwa kisaikolojia.
Hao wapiga ngoma wamewawekea sauti kubwa kuwazidi mpaka imepoteza mvuto!washariki wote hawasikiki kabisa kwasababu ya hizo drums!wamenikeraaa
Naona kev ana hati hati. Tungoje tuoneTop 5 anaingia huyu
Kweli wamepaniki kidogo