mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
hao watu wa back up huko nyuma wanaharibu sana
Washabiki maandazi
hao watu wa back up huko nyuma wanaharibu sana
Wale wambea wenzangu haka ka Frida sio kakoboaji kweli?
Ila jamani huyu Kelvin kanisikitisha sana kwa story yake.
Wale wambea wenzangu haka ka Frida sio kakoboaji kweli?
Frida on stage nampendaje my Nick Minaj
Hahahhah chezea mil 50 wewe. Ila contestants wengi wamepanikiTeh teh..leo hadi viuno ananikatikia
Wale wambea wenzangu haka ka Frida sio kakoboaji kweli?
kweli hawa watu wanatumika!mbona frida wanampigia beat nzuri?
Kanaweza kuwa aisee