Huyu aliyetoka amepaka manini usoni?
Huyu Jacky akitoka lawama zote ni kwa Master J.
Mazingaombwe yashaanza
Hujaelewa nini best?
Hawa majaji wamekuja na majina yao mfukoni. Honnestly, jack kaimba vyema kuliko Angel kwa usiku wa leo
Nashangaa wao walikuwa wanamshangilia wakati alikuwa hata hasikiki anaimba nini.
huyo Kelvin sioni anachokiimba
Nabet final ni Kayumba vs Mary
au Kayumba vs Fenabo...
No way...
Kayumba hawezi kosa final.
Hahahahahah unachat na simu uliyoiba kwenye ada yanguMsechu huwa ana mambo mengi hadi anaharibu..Huo wimbo wake mzuri ila ye anazingua..