Kayumba I love youuuuuuuuuuuujujjjjjjjj
HahajajjajajajUmesema???
Zinairritate sana banasauti za spika haziko poa kabisaa
Sawaaa. Subiri sasa uone jack atakavyosimama na song la kanyimbeShow ikiisha tutaongea uzuri
Spika + rangi imekolea mnooooSpika za hawa mambo jambo haziko poa kabisa
Mh hivi huyu Master Jay hanaga mke..maana kheee uyo Shaa kila mahala
Kweli wamepaniki kidogoJamani washiriki wa Leo hawako vizuri ka siku nyingine sijui ni homa ya finale