Mmh kupaniki lazima kuwepo bana, hata ujiandaaje. Naona kama jack amerelax na sauti imesikika
Hizi nyimbo wote walishaziperform before. Jack huo ndo wimbo wake alioperform Vizur zaidi according to me. ana asili ya kupoozaNadhani selection ya wimbo nayo inachangia, huyu teacher (Jackline Kakenge) naona kapoa poa kuliko waliopita
Hafu kweli hawa wapiga vyombo ndo wanaharibu na wale wanaoimba nao chorus kuwapa back up wanawaharibia sana tyu
Master J kasemaje?Nilikuwa naongea na simu kidogo sijamsikia vizuri.
As if yeye sio judge. Kev au jack mmojawao anatoka. Nahisi ndo maana walimrudisha fridaComment ya master jay kwake imekera yani finale ana mwambia haku deserve eti alibebwa na majudge
Inawafanya wasiimbe vzuri wangeandaliwa kisaikolojia.
Hahhahaha fonabo ni threat ujue. Sema kayumba ana advantage ya nyota zaidi tehYeah..Fonabo kabla hajaanza tu kapita
Tangia mwanzo hao jamaa wanaharibu sana kwenye vyombo!sijui madam ritta amewapendea nini!FONABO anapiga mwenyewe inakua poa sana!wako locally sana hawa jambo na mi drums yao
mater j snitch
Nimeifadhi tusi langu..Ntamtukana kama jack akitoka
Noop wote hizo nyimbo walishaimba daddyFonabo anajiamini..kaja na wimbo mpya