Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Huyu Winnie wa mbagala rangi tatu namkubali sana,she is so genuine. Kaulizwa "gauni umetoa wapi"? Kajibu "mtumba wa mwenge huu"
 
Mh hivi huyu Master Jay hanaga mke..maana kheee uyo Shaa kila mahala
 
Make up ya Penny mbona sijaipenda, au luninga yangu inanidanganya??!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom