Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Duh leo shughuli pevu kweli kweli, kumbe Angel Mary Kato naye mkali hivi
 
Diva Beyonce hebu njoo huku mpenzi,najua utakuwa unamkubali Kayumba tu coz huwa hatupishani.

Shatia team naona Angel mary hajachangamka sijui kinguo chake kimemfanya asiwe comfortable. Mi team kayumba na Frida napenda mmojawapo ashinde
 
Last edited by a moderator:
Mwenye pesa zake kwa stage
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom