itikadizetu
Member
- Nov 9, 2013
- 43
- 20
Boonge la jumba wanaishi mme na mke na mlinzi wa geti tu ht housegirl hakuna lkn kila siku safiiii
Ukute sasa wanapigana..na yale makelele...'hwaaa yaaaa'...mmmh!.
Halafu anayekuja kulipiza kisasi anafika ameshika bastola kisha anaangalia juu au upande huku kamuelekezea mbaya wake bastola..na wanamzoom macho kupata matendo aliyotendewa..ambayo ni kama nusu saa hivi. Na baada ya flash back ya nusu saa bado mbaya wake anakuwa yupo palepale anatetemeka.!
hahahaaaa...asanteeeAnayepiga cm anabonyeza...kisha straight sikioni na kuanza kuongea. Sijui mtandao gani upo fasta namna hii.!!!
Jamani hizi muvi za bongo wangechukua hizi weakness wajirekebishe,
ila hili jukwaa limenifurahisha leo ic.!
JB anavaa shati moja kwenye movie sita.
nimekutafuta sana leo ujue we mtoto!
haya usiku mwema!
![]()
Kwenye subtitle mgeni anaitwa new people
Teh! Teh! Teh! Umenivunja mbavu kwakweli imebidi niweke movie yake moja ili kuprove...Hahahahaaa ni kweli aisee, but tumchukulie poa jamaa size zake za nguo ni design "PEPE KALE" ss atazipata wp za kuchange kila wakati??
hahahahaaaa....muv za sultan tamba anaigizia sebuleni tuuHahahaha, ni kama Mulugo alivyosema 'dear lookers' badala ya 'dear viewers'
ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
Teh! Teh! Teh! Umenivunja mbavu kwakweli imebidi niweke movie yake moja ili kuprove...Hahahahaaa ni kweli aisee, but tumchukulie poa jamaa size zake za nguo ni design "PEPE KALE" ss atazipata wp za kuchange kila wakati??