Masoud Mganga
Member
- Oct 19, 2013
- 18
- 1
mtatuuwa washkaji
Ukiangalia hizi muvi lazma ukae na remote karibu maana sehem ya kugombana sauti inapaaa sana hadi inakera so lazma upunguze ikishavuka hapo ndo uongeze tena sauti.
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
Mama wa kijiji ana mkufu wa Gold shingoni na heleni kisha anakilemba kichwani na kubeba kuni kachakaa nguo na kutinda nyusi na kucha rangi rainbow
kwiiiih....na ile ya kupaka mdomoni anayo,afu utasikia kidhungu,oke na anyway nyjngi kweli!
Kwenye subtitle mgeni anaitwa new people
Kwenye subtitle mgeni anaitwa new people
Mlinzi au gateman lazima awe chizi/fyatu
hahahaaaaaaaKijijini lazima kilemba japo shingoni gold na rainbow nails zina rangi kimjini mjini
hahahaaaaa....risasi iko kwa slow motion!Bunduki hazina silencer lakini mlio wake sasa...kama vitoy.