Jina la filamu la Kiingereza lakini ndani wanaongea Kiswahili
mkuu wanavaa jezi za scout asee,kama lord Barden Powell angekuwepo!
Waigizaji waliopo kwenye cover la movies si waliopo ndani movies
Bora Tom and Jerry unainjoyi
jini akitaka kuvuka barabara aanaangalia pande zote....... m2 akichomwa kisu lazlma iwe tumboni......
The road to New World Ordercartoon iharibu watu kisaikolojia tena kids ni aim mzungu apate ulimwengu wa wajinga awacontrol