huyu dogo namjua kama msanii wa bongo movie lakini jina halisiView attachment 72493
Msanii wa bongo John Maganga afariki dunia,
alisumbuliwa na kongosho kwa takribani siku tatu
na hatimae kufariki dunia siku ya jumamosi (24/11/2012).
Naskia amefariki siku chache baada ya kuingia mkataba na distributor wa movie yake mpya...so kuna movie yake inakuja soon!
Bitabo ivi unaweza kukubaliana nami kwamba mtu anaweza julikana zaidi na baadhi tu ya watu hususani wadau wa kile alichokuwa akikifanya au waliokuwa wakipendezwa nacho.Sawa na doctor fulani bingwa atafahamika zaidi na mgonjwa fulani aliyemtibia maradhi.
Tufahamishe basi huyu msanii alivuma sana na filam or movie ipi?
tupe data zake Mkuu,halafu hiyo kongosho inasababishwa na nini? kumbe tunatembea na kifo
mungu ampumzishe mahala pa faraja,raha , mwanga na amani ndugu yetu huyu na wote waliokufa wakimtumainia mungu.amina.