Bongo movie wapatwa na pigo jingine

Riwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2007
Messages
2,601
Points
1,500

Riwa

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2007
2,601 1,500
Naskia amefariki siku chache baada ya kuingia mkataba na distributor wa movie yake mpya...so kuna movie yake inakuja soon!
 

cacico

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
8,387
Points
1,250

cacico

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
8,387 1,250
Hata kwenye mrembo kikojozi maecheza kama yule kaka aliyemsusa aunt eekiel na kumdhalilisha!! Akapakwa make-ups kuwa kama gay na kupiga picha zke akiwa na libaba jeusiiii! Kisha aunt ezekiel na mtunis wakazipeleka kwa mkewe! Oohhh nimesikitika, rip john!
 

Lukelo First

Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
16
Points
0

Lukelo First

Member
Joined Oct 10, 2012
16 0
Bitabo ivi unaweza kukubaliana nami kwamba mtu anaweza julikana zaidi na baadhi tu ya watu hususani wadau wa kile alichokuwa akikifanya au waliokuwa wakipendezwa nacho.Sawa na doctor fulani bingwa atafahamika zaidi na mgonjwa fulani aliyemtibia maradhi.
Tufahamishe basi huyu msanii alivuma sana na filam or movie ipi?
 

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
453
Points
250

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
453 250
RIP JOHN msalimie Steve mwambie huku sanaa bwana bado sana tena siku hizi wanajianika sana uchi, mademu wa bongo movie wamepoteza directions wanalenga ndoa tuu kwa wenye mikwanja matokeo yake wanatumika tuu. alafu Jeniffer na Sofia bhaana wametoka na kitu kipya chaitwa maduhu dizain kama mwendelezo wa JJ na BIG DAD na utundu hawajaacha. Alafu mwambie Lulu bado hakijaeleweka bado wanatunga stories tu kule na kajala ...
 

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
5,235
Points
2,000

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
5,235 2,000
View attachment 72493
Msanii wa bongo John Maganga afariki dunia,
alisumbuliwa na kongosho kwa takribani siku tatu
na hatimae kufariki dunia siku ya jumamosi (24/11/2012).
huyu dogo namjua kama msanii wa bongo movie lakini jina halisi
alishawahi kufanya field ofisini kwetu 2 years ago!
wakati huo alikuwa anasoma undergraduate tax management ifm
rip bigy msanii

 

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,477
Points
1,195

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,477 1,195
Bitabo ivi unaweza kukubaliana nami kwamba mtu anaweza julikana zaidi na baadhi tu ya watu hususani wadau wa kile alichokuwa akikifanya au waliokuwa wakipendezwa nacho.Sawa na doctor fulani bingwa atafahamika zaidi na mgonjwa fulani aliyemtibia maradhi.
Tufahamishe basi huyu msanii alivuma sana na filam or movie ipi?
Huyu jamaa alicheza movies zifatazo:
MREMBO KIKOJOZI, CHANZO NI MAMA, AISHA, BAAMEDI,
PEACE OF MAIN, MIRICLE OF LOVE NA NYINGINE NYINGI.
 

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,477
Points
1,195

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,477 1,195
tupe data zake Mkuu,halafu hiyo kongosho inasababishwa na nini? kumbe tunatembea na kifo
Alikua anaumwa na tumbo kisha akamuomba Shija amsindikize hospitali,
wakaongozana moja kwa moja mpaka hospitali ya Mwananyamala na
hatimae kutoa maelezo na baada ya muda madaktari wakahisi atakua na
tatizo ktka utumbo ambapo mmoja wao alisema itakua ni utumbo umekatika au
jeraha.

Hivyo wakabidi wamfanyie upasuaji lakini baada ya upasuaji walibaini hakuwa na
tatizo katika utumbo, wakafanya wanachojua na mwishowe wakamshona sehemu
waliyoifanyia upasuaji.

Hali hiyo ilimfanya john aendelee kuzidiwa nakumbidi apelekwe Muhimbili,
na huko ndiko walikobaini kuwa tatizo ni KONGOSHO.
 

yatima

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
354
Points
0

yatima

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
354 0
mungu ampumzishe mahala pa faraja,raha , mwanga na amani ndugu yetu huyu na wote waliokufa wakimtumainia mungu.amina.

sio kirahisi hivyo ndugu yangu ............... kupumzishwa mahala pa faraja, raha, mwanga na amani............. NJIA ILE NI NYEMBAMBA IENDAYO UZIMANI ............ hapa itategemea sanaaaaaaaaa maisha yake ya kila siku na dakika zake za mwisho................

otherwise mwenzetu amemaliza safari yake ....... Mungu awape faraja familia yake, marafiki, na jamaa. Ni wakati wa kujihoji ....sisi tutamalizaje???????????????????
 

Forum statistics

Threads 1,390,629
Members 528,220
Posts 34,056,986
Top