Bongo fleva zilipendwa audio 2012 to the past

Bongo fleva zilipendwa audio 2012 to the past

Bush Party ya Solid Ground Family nani anayo??

Na ile Bongo Dar es Salaam ya Nigger Jay wa enzi hizo saa hizi Prof Jay.
 
Scount Jenta,critik Daz Nundaz kuna ka wimbo flani katamu balaaa sijui hata jina
 
Ile ngoma inaitwa akwelina alienayo aweke hapa wakuu!

Akwelina we njoo tulimalize tatizo ononnono
Akwelina mpenz nakupenda
 
Elimu mtaani - D'knob
Mtoto idi - Juma nature
Bongo.com - TNG squard
Tanga Kunani -wagosi wa kaya
Mapozi - Mr blue
Kidato kimoja - JI
Nampenda yeye - Mh Temba
Nipe tano/Barua - Daz nundaz
 
Latifa - Mb dogg
Yote maisha - Madee
Ugali kachumbari - Insp Harun
Umbo namba 8 - Daz baba
Machozi - Lady Jaydee
Darubini kali - Afande sele
Nenda - chegge
Zali la mentali - Prof Jay
Barua/mume bwege - bushoke
Unachotaka utapata - Klynn
Mpenzi jini/binti kiziwi - z'anto
 
Mtulize-mabaga fresh
Tupo kamili-mabaga fresh
Bongo dukinaa -dudubaya
Nanata-solo thang
Barua-daz nundaz
Mikononi mwa polisi-Mr 2
Sina dem-B boy
Ni rafiki tu-dolphin pose
Tshirt na jeans-UVC
Jela-LWP
Homa ya dunia-solo thang
Majobless-big dogg pose
 
Wachuja nafaka[emoji1][emoji1] watu wa utamaduni hatukuchapi kwa fimbo tunakuchapa kwa kuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom