Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Naona umetifua madini ya ukweli
Kuna ngoma inaitwa GITA - MSANII NI NANI unayoo??
Msanii anaitwa nani. Hadi kuna line ina sema
" Gita Nani nakuita itika baasi, na tena naona daily unapenda mikasi, nite Nani mim mzeee wa nyasi, figure yako ya kuvaa kimini
Basi gitaa haunitoki akilini,
Nyuzi zako sita kiunoni,
Sauti yako inavyopenya masikioni......"
Nakumbuka lines zote ila naisaka hii ngoma kichizi yaanaitwa a unit
noma sana ukiipata ntumie mkuu naikubali hiyo hatari