Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Funguo waliimba Longombas kutoka Kenya,nakujankwenu nikitafuta nyimbo zifuatazo
funguo iliyo potea
stori tatu tofauti
waimbaji siwakumbuki ahsanteni sana
Stori tatu ni Jay Mo kutoka Tz.
Funguo waliimba Longombas kutoka Kenya,nakujankwenu nikitafuta nyimbo zifuatazo
funguo iliyo potea
stori tatu tofauti
waimbaji siwakumbuki ahsanteni sana
Hii hapa sina demuJamani mwenye wimbo wa B boy wimbo unaitwa sina dem
Bongo Dar es Salaam ya Prof hii hpBush Party ya Solid Ground Family nani anayo??
Na ile Bongo Dar es Salaam ya Nigger Jay wa enzi hizo saa hizi Prof Jay.
Utulie wangu mpenz mimi ni wako daima...Kuna kadem kanaitwa Jackie Marie aliimbanga kawimbo kazuri akapotea
Ule wimbo siukumbuki ila ulikuwa unapigwa sana ITV usiku.
Nashukuru sana kaka, huu wimbo naupenda.Hii hapa sina demu
Mi nnayo ila namna ya kuiweka hapa ndio nimeshindwaBush Party ya Solid Ground Family nani anayo??
Na ile Bongo Dar es Salaam ya Nigger Jay wa enzi hizo saa hizi Prof Jay.
nausubiri mkuu nipakueNinao.
Mwenye Girlfriend-isaack km cjakosea..
"Acha waseme we ndo wangu girlfriend, acha waponde we ndo wangu girlfriend,
Km kna ktu nmekukosea,nakiri kwako mpenz unisamehhe,acha waseme acha waponde wewe ndo wangu gf"
Nipe TanoScount Jenta,critik Daz Nundaz kuna ka wimbo flani katamu balaaa sijui hata jina
Fanya mpango naitaka jamaniMsanii anaitwa nani. Hadi kuna line ina sema
" Gita Nani nakuita itika baasi, na tena naona daily unapenda mikasi, nite Nani mim mzeee wa nyasi, figure yako ya kuvaa kimini
Basi gitaa haunitoki akilini,
Nyuzi zako sita kiunoni,
Sauti yako inavyopenya masikioni......"
Nakumbuka lines zote ila naisaka hii ngoma kichizi yani