Kuna ngoma inaitwa GITA - MSANII NI NANI unayoo??Daaaaah! maneno yaliyomo humu ndan hakiyanani kama demu upo nae geti na anazingua akiusikiliza lazima atepaete hatariii
gitaa gitaaa gitaaaa mpenzi gita mi napo kwita..... kaka hii ngoma ilikuwa tam sana ila sijui kaimba nanKuna ngoma inaitwa GITA - MSANII NI NANI unayoo??
Msanii anaitwa nani. Hadi kuna line ina semagitaa gitaaa gitaaaa mpenzi gita mi napo kwita..... kaka hii ngoma ilikuwa tam sana ila sijui kaimba nan
Ngoma kali sana hiyo ngoja niicheki kama ipo!!Mwenye Girlfriend-isaack km cjakosea..
"Acha waseme we ndo wangu girlfriend, acha waponde we ndo wangu girlfriend,
Km kna ktu nmekukosea,nakiri kwako mpenz unisamehhe,acha waseme acha waponde wewe ndo wangu gf"
Msanii anaitwa nani. Hadi kuna line ina sema
" Gita Nani nakuita itika baasi, na tena naona daily unapenda mikasi, nite Nani mim mzeee wa nyasi, figure yako ya kuvaa kimini
Basi gitaa haunitoki akilini,
Nyuzi zako sita kiunoni,
Sauti yako inavyopenya masikioni......"
Nakumbuka lines zote ila naisaka hii ngoma kichizi yani
Sija ipata bado mkubwanoma sana ukiipata ntumie mkuu naikubali hiyo hatari
Ndo ipi hiyo? Sina kumbukumbu kama chege ana huo wimbo!!Ngoma ya chege ,mahabuba nani anayo
Nenda Google tafuta sikiliza leta mrejeshoNdo ipi hiyo? Sina kumbukumbu kama chege ana huo wimbo!!
Anaitwa hivyo hivyo....nanigitaa gitaaa gitaaaa mpenzi gita mi napo kwita..... kaka hii ngoma ilikuwa tam sana ila sijui kaimba nan
HapanaILA 2012 NAYO NI ZILIPENDWA KWELI!!!!!! ????????