Bongo fleva zilipendwa audio 2012 to the past

Bongo fleva zilipendwa audio 2012 to the past

1.Understanding TID/JIDE
2.Wanock nock Mandojo/Domokaya/JIDE
3.Watasema sana TID/Nazi
4.DSM-SUGU
5.Taratibu nasema bado-Nurueli
6.Buzi-Mr Paul
7.Maasai-Mr Ebbo
8.Sina Demu-B Boy
9.Mitaa ya kati-Imam Abass
10.Mikasi-Mangwea
 
Salome nyimbo Kali sana hii [emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Kuna kadem kanaitwa Jackie Marie aliimbanga kawimbo kazuri akapotea

Ule wimbo siukumbuki ila ulikuwa unapigwa sana ITV usiku.
 
Mack D - Kifo cha Nyani
BWV - Bara bara
ZigZag Crue - Jiko Limenuna
Lady Luuh - Atapata
DUDU Baya - Huna Nidham
 
Swahiba _jebby
Jirushe_
Barua_bushoke
Bush party _SGF
Tshirt&Jeans _UVC
Kamanda _daznunda
Leo_west cost
 
Ule wimbo wa yule jamaa kaimba lafudhi ya kichagga et
Massawe alikuwepo,
Huyu mtoto wa nyumba ya pili hapo alikuwepo,
Mara,polisi wakamweka ndani Raphaeee Raphael,
Tulikunywa tulikunywa tukalewa yesu wanguuu.
Anaitwa nani huyu jamaa aisee?
Wimbo unaitwa Raphael umeimbwa na Fred Saganda a.k.a tsolu
 
Dah...shukran mkuu, huu wimbo unanikumbusha dem wangu wa zamani tulipoteana kabisa...na hiyo tatoo kipindi kile dah.
Hahahah huu wimbo mzuri sana. Naona umekumbuka mbali aisee. Umejaribu kumtafuta?

Huyu Dada sijui anafanya nini sasa hivi?
 
nakujankwenu nikitafuta nyimbo zifuatazo
funguo iliyo potea
stori tatu tofauti
waimbaji siwakumbuki ahsanteni sana
 
Jamani mi nyimbo za kina john walker na las pia wagosi wa kaya mwenye nyimbo za hao aziweke hapa please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom