alikuaga saizi anatema utumboSiku hizi ukitaka Story Telling Rap msikilize Songa....kwa miaka ya karibuni jamaa Amekuja kushika nafasi ya wakongwe kwenye hili.
-Usiku
-Beki tatu
-Beef
-Ninapotoka
-Ndege
-Sorry
-Kikosi cha mizinga.
Sikiliza hizi at least utapata utamu ule wa enzi zile....Kwangu jamaa ni Best Story Teller Rapper kwa kizazi chase.
IMEKAA VIBAYAYule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,
(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
Imekaa Vibaya sana......alooo afande cha pombeYule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,
(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
Kali PImekaa Vibaya... Hii bado haijatulia
Imekaa vibaya...
Nimemsahau msanii alieimba hiyo ngoma
Hiyo namba tisa ni noma bonge moja la story ukichanganya na beat lake jumlisha na chorus toka kwa dojo na domokaya daah acha kabisa....... Mwenye nayo naomba aniwekee hapa Maana you tube haupoDah hizi ngoma zilikua noma;
1.Chemsha bongo-Hard blastaz
2.Nikusaidiaje-Prof.J
3.Mpiga debe-Mzimuni family
3.Mtoto Iddy-Juma Nature
4.Ni mshamba-Jay Mo
5.Maisha ya boarding-Jay Mo
6.Kazeze-OCG
7.Kisa cha baba mkwe-Inspector Harun
8.Sauti ya Manka-GK
9.Ni strory-Sogy Dog Hunter
10.Mshkaji mmoja-Joslin
11.Boss-Ferouz
12. Baba Jane-Solid Ground Family
Aisee zamani bongo fleva ilikua tamu sana, ngoma nyingi zilikua story-telling na zilibamba sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo ninao ila sijui jinsi ya ku uploadHiyo namba tisa ni noma bonge moja la story ukichanganya na beat lake jumlisha na chorus toka kwa dojo na domokaya daah acha kabisa....... Mwenye nayo naomba aniwekee hapa Maana you tube haupo
Sent using Jamii Forums mobile app