Bongo Fleva ya zamani tulikuwa tunapewa story.. siku hizi tunapewa nini?

hichi kisa cha baba mkwe, kilichotokea huko Tanga,
Mwenye*****kakosa mke, kamwagia kitumbua chake mchanga,

Inspector Haroon Kisa cha baba mkwe anaeukumbuka huo wimbo wa Babuuu
 
Sikiliza hiyo.
 

Attachments

  • Dizasta Vina - Kikaoni(OFFICIAL AUDIO).mp4
    4.8 MB · Views: 24
Those times, when music was real,
Guys, hivi ndio kusema tumeshakula chumvi nyingi maana nakumbuka bongo fleva ya kina Sugu inaingia wazazi walikua wanasema ni mziki wa kihuni na ukateka mziki wa band mazima, na sisi tunasema mziki wa sasa hivi wanaimba uhuni hahaha kwa hiyo zama zishabadilika mnooo.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Wasafi FM iko inapiga oldies za Bongo muda huu, namsikia Kali P na imekaa vibaya.
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom