Bongo Fleva ya zamani tulikuwa tunapewa story.. siku hizi tunapewa nini?

Siku hizi ukitaka Story Telling Rap msikilize Songa....kwa miaka ya karibuni jamaa Amekuja kushika nafasi ya wakongwe kwenye hili.

-Usiku
-Beki tatu
-Beef
-Ninapotoka
-Ndege
-Sorry
-Kikosi cha mizinga.

Sikiliza hizi at least utapata utamu ule wa enzi zile....Kwangu jamaa ni Best Story Teller Rapper kwa kizazi chase.
alikuaga saizi anatema utumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi shabikia Bongo fleva kabisa. But nakubali once upon a time nyimbo zao zilikua zinaoleo na zinavutia.
Kuna moja naikumbuka ikiitwa VIJIMAMBO yani safi sana kila nikiikumbuka, Ila msanii simfahamu..

Hivi sasa binafsi nashindwa kufahamu watu wanashabikia nini.
 
Dah hizi ngoma zilikua noma;
1.Chemsha bongo-Hard blastaz
2.Nikusaidiaje-Prof.J
3.Mpiga debe-Mzimuni family
3.Mtoto Iddy-Juma Nature
4.Ni mshamba-Jay Mo
5.Maisha ya boarding-Jay Mo
6.Kazeze-OCG
7.Kisa cha baba mkwe-Inspector Harun
8.Sauti ya Manka-GK
9.Ni strory-Sogy Dog Hunter
10.Mshkaji mmoja-Joslin
11.Boss-Ferouz
12. Baba Jane-Solid Ground Family
Aisee zamani bongo fleva ilikua tamu sana, ngoma nyingi zilikua story-telling na zilibamba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekaa Vibaya... Hii bado haijatulia
Imekaa vibaya...

Nimemsahau msanii alieimba hiyo ngoma
 
Mkuki moyoni - Afande sele
Hi - dully sykes
Mnyalu - Mike tee
Ulinikataa - q chillah
Kama unataka demu - Jay mo ft solo thang
Mtoto sio rizki - solo thang
Mambo ya pwani - Solo thang ft J nature
Tunakukumbuka - king crazy GK
Homa ya duni - solo thang
 
Nakupendaaaaa
Nasifa nakupa
Zote rahaaa
Usisikize ya wale wasiopenda maendeleo yeetu mpenzi wangu ×2
Nampenda mpenda... Naaani
Msichana mmoja... Naaniii
Mweupe kidogooo.. Naaanii
Namoenda nampendaaaa
Nyuma kajaza... Naniii
Anajua kuringa... Naaani
Nampenda nampendaaaa.


Hii ngoma sijui ilikuwa ya solo thang ama Jay moo ilikuwa kali sana na beat lake ni nomaaa mno
 
Siku hizi hakuna story zote zishaimbwa na wasanii Wa zamani,asahivi ni mwendo Wa kukatika tu
 
Yule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,

(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
Imekaa Vibaya sana......alooo afande cha pombe

Hu..haaaa. master
Kali P
 
Dah hizi ngoma zilikua noma;
1.Chemsha bongo-Hard blastaz
2.Nikusaidiaje-Prof.J
3.Mpiga debe-Mzimuni family
3.Mtoto Iddy-Juma Nature
4.Ni mshamba-Jay Mo
5.Maisha ya boarding-Jay Mo
6.Kazeze-OCG
7.Kisa cha baba mkwe-Inspector Harun
8.Sauti ya Manka-GK
9.Ni strory-Sogy Dog Hunter
10.Mshkaji mmoja-Joslin
11.Boss-Ferouz
12. Baba Jane-Solid Ground Family
Aisee zamani bongo fleva ilikua tamu sana, ngoma nyingi zilikua story-telling na zilibamba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo namba tisa ni noma bonge moja la story ukichanganya na beat lake jumlisha na chorus toka kwa dojo na domokaya daah acha kabisa....... Mwenye nayo naomba aniwekee hapa Maana you tube haupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom