ule ndo ulikuwa mziki bana...saiv umavi mavi tu! bongo fleva imekuwa sijui km nini maana bora hata ya tarabu na boringoNakumbuka muziki wa kizazi kipya wa nyumbani hapa Tanzania.. around miaka ya 99 mpk 2000 na kenda... Ilikuwa ukiskia muziki unahit, basi ni kwa sababu una story.. Yaani style ya uandishi na hata kuimba/kurap ilikuwa ni story-telling..
Unakuta msanii anaandika kuhusu mwenendo wa tabia za mtu fulani (fiction).. Ambaye labda alianza kuwa kijana mwema... akaharibikiwa... au mkasa fulani.. simulizi yake sasa ndio daah mpaka raha..
Nakumbuka story ya Barua.. Story ya Aseme.. Story ya Sister sister.. Story ya Jinsi Kijana... Story ya Boss.. Story ya salome... Ya leah.. Story story...
Style hiyo naikosa kwenye miziki ya awamu hii.. wimbo mmoja unakuta una story kibao ndani yake.. unakuta kiitikio tofauti kabisa na verses... ladha inakuwemo lakini haidumu... inachosha..
Shime wanamuziki.. tuushape muziki.. tuchanganye ikibidi... Nilimwona Jay Moe akifanya story telling hivi karibuni kwenye wimbo wake wa Story za watu 3... Ilikuwa poa sana..
Natamani siku zirudi nyuma.. Kama haiwezekani, basi wazee wenzangu humu tukumbushane mistari ya nymbo za zamani ambazo zina stories nzuri..
Ha Ha Ha Ha Ha! Watu walishaga elimishwa Sana, saa hii hawataki tena hadithi... Wanataka burudani tuu kutoa stress, nchi yenyewe hii babu, ohooo flow Kali beat Kali ndo kitu imebaki watu watoe mastress man.Zama za wazee zimeisha..usijilazimishe kwenda na wakati ndio maana mmewekewa program zenu za zilipendwa..hizi ni zama za kuacha maneno na kuweka muziki...
Ni dollo feat natureRadhia wangu......J.Nature i think
Imekaa vibayaYule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,
(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
Hii imekaa vibaya inaendana na hali ya sasa,sijui nirudi kijijini....ila mkulu said hatumalizi June,Imekaa vibaya
hii Bado haijatuliaa
imekaa vibayaaa
Dah, kitu bush party! Aiseeee! Solid Ground Family.Athuman-solid ground
jerry -solid ground
Baba jeni-solid ground
Jerry chorus
Kichaaa kimepanda(jerry)
baada ya kuvuta mineli..
wengi walidhani kalogwa na jirani...
kumbe mibange imempanda kichwani...
Baba jeni chorus
Baba jeni alipopata mafao
tabia tabia ikabadilika
na Sasa yamekumkuta
anabaki anajuta..
muziki wa Zamani mtamu sanaaa
Radhia wangu......J.Nature i think
ugali - juma natureWatu wenywe skuhiz,wanashindia
Chips yai plus kushera
Vipodoz na dada zao unafkir
Story watapata wap
Nafikiri ndiyo maana yule msanii ameimba 'naomba unisaidie kushea' ..pengine alimaanisha hivi ili watu waujue mziki wa enzi zile...Nakumbuka muziki wa kizazi kipya wa nyumbani hapa Tanzania.. around miaka ya 99 mpk 2000 na kenda... Ilikuwa ukiskia muziki unahit, basi ni kwa sababu una story.. Yaani style ya uandishi na hata kuimba/kurap ilikuwa ni story-telling..